Kotlin ni Java iliyopunguzwa makali, ukitumia lines of code 10 kwenye Java, uko likely kutumia lines 6 kwenye Kotlin kuperform task ileile, uki decompile izo files mbili ( one made by Kotlin, one made by Java) , matokeo yake unapata files zilizosawa ki lines ( machine language )
je unajua unawezapachika script za Java kwenye Kotlin, Kotlin ni kama ime upgrade Java kwa ku fix baadhi ya flaws,
ie: kuhandle Null Pointers kwenye Java inabidi ujiongeze, ila kwenye Kotlin, creator amejiongeza badala yako
walichofanya creators wa Kotlin ni ku merge method zinazofanana kikazi na ku create method moja, tayari inakusaidi wewe kuwa na lines chache uki code
hakuna language inayopitwa na wakati, hata Assembly bado iko usable kwenye low end micro-controllers programming, tena sana tu
kila language inakua useful kwenye muktadha flani