racka98
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,041
- 1,541
Kotlin ni for lazy programers kivipi? Kotlin inafata principle zote za object oriented programming kwa ufasa zaidi kuliko Java.Itapendeza kama ukijifunza kwanza java kabla ya kotlin kwa sababu kwa mtazamo wa manguli wa coding wamesema "KOTLIN IS JAVA FOR LAZY PROGRAMMERS"
Hata hiyo kotlin wanyoipigia debe hawa lazy programmers wa JF inabadili kotlin programs kwenda java bytecode ili kutumika kwenye android
Bado utafanya kazi na extension functions, classes, lambdas, properties na hata asynchronous programming kma unavyofanya kazi kwenye Java ila in a more concise way.
Hauhitaji kusoma Java ili kusoma Kotlin.
Google wenyewe wenye experts kibao na wanaomaintain Android wanakuambia use Kotlin instead of Java kwenye Android development.
Kuna msemo unasema "you are too busy chopping wood to sharpen the axe". Unapewa tools mpya utumie kufanya kazi kiufasaha zaidi. Statistics zote zinaonesha upungufu wa bugs kwa app zilizohamia Kotlin kulinganisha zilivyokua zinatumia Java.