Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

Je, ni wapi naweza kusoma Kozi ya Programming?

Status
Not open for further replies.
Itapendeza kama ukijifunza kwanza java kabla ya kotlin kwa sababu kwa mtazamo wa manguli wa coding wamesema "KOTLIN IS JAVA FOR LAZY PROGRAMMERS"

Hata hiyo kotlin wanyoipigia debe hawa lazy programmers wa JF inabadili kotlin programs kwenda java bytecode ili kutumika kwenye android
Kotlin ni for lazy programers kivipi? Kotlin inafata principle zote za object oriented programming kwa ufasa zaidi kuliko Java.

Bado utafanya kazi na extension functions, classes, lambdas, properties na hata asynchronous programming kma unavyofanya kazi kwenye Java ila in a more concise way.

Hauhitaji kusoma Java ili kusoma Kotlin.
Google wenyewe wenye experts kibao na wanaomaintain Android wanakuambia use Kotlin instead of Java kwenye Android development.

Kuna msemo unasema "you are too busy chopping wood to sharpen the axe". Unapewa tools mpya utumie kufanya kazi kiufasaha zaidi. Statistics zote zinaonesha upungufu wa bugs kwa app zilizohamia Kotlin kulinganisha zilivyokua zinatumia Java.
 
S

Siwezi poteza muda kujifunza kotlin kwa sasa labda mwakani kwani sioni ulazima wa kufanya hivyo
 
Hapana. Hauhitaji msingi wa java. Ni language inayojitegemea. Ina library za Java baadhi lakini wewe hauzigusi (zipo kwenye backend na kwenye compilers). Online kuna course zinazofundisha Kotlin for Java Developers. Hzo hazitakufaa kma hujui jamaa. Tafta course inayofundisha Kotlin for beginners.

Jetbrains academy wana offer free Kotlin course sshv.

Pia kuna vitabu: Kotlin Head First & Kotlin Apprentice. Hvi vinakufundisha Kotlin tu na haihitaji knowledge ya Java.

Youtube tutorials nyingi ndio zinasema ukajifunze java kwanza kwasababu course zao sio za absolute beginners.

Recommendation yangu ni Jetbrains academy. Hii ni uhakika lazima utajua Kotlin hata kama ni beginner kabisa na hujui chochote about coding. Na ukiwa na kitabu cha Kotlin Apprentice kukusaidia kuelewa zaidi. Tutorial za youtube hutoki na kitu kma ni beginner.
Noted
 
Ahsant mkuu.
Pamoja hii inatengeneza cross-platform apps kwa android, ios, web, windows, linux, macos na google fuchsia ni rahisi kujifunza kama tayari unajua java au javascript ni rahisi kuiadapt ndani ya wiki chache tu inaandikwa kwa dart ambayo inacompile to platform specific apps.
 
Dar-es-salaam Institute of Technology - Mwanza Campus
ICT Short Courses! 🌐

Choose from a variety of courses, including:
1. Computer Applications(PC fundamentals, Ms Word, Ms excel, Ms publisher, Ms PowerPoint, Ms access & Internet Applications)
2. Computer Maintenance & Repair
3. Web development using CSS and Html
4. Website Design using PHP & MYSQL
5. Graphics Design using Adobe Photoshop and Illustrator
6. Basic Computer Networking
7. Printer Maintenance and Repair
8. Basic Computer Programming C/C++
9.Motion Graphics and Visual Effects

📚 Learn from industry experts, gain practical knowledge, and boost your career in the fast-paced world of Information and Communication Technology. 🌟

Don't miss out – enroll today and become an ICT pro! 💻🎓
Contacts: 0713340212
0629153727
 
Dar-es-salaam Institute of Technology - Mwanza Campus
ICT Short Courses
! [emoji273]

Choose from a variety of courses, including:
1. Computer Applications(PC fundamentals, Ms Word, Ms excel, Ms publisher, Ms PowerPoint, Ms access & Internet Applications)
2. Computer Maintenance & Repair
3. Web development using CSS and Html
4. Website Design using PHP & MYSQL
5. Graphics Design using Adobe Photoshop and Illustrator
6. Basic Computer Networking
7. Printer Maintenance and Repair
8. Basic Computer Programming C/C++
9.Motion Graphics and Visual Effects

[emoji432] Learn from industry experts, gain practical knowledge, and boost your career in the fast-paced world of Information and Communication Technology. [emoji93]

Don't miss out – enroll today and become an ICT pro! [emoji335][emoji310]
Contacts: 0713340212
0629153727
Nataka kusoma flutter
 
Edx, Udemy, Youtube,Khan academy
search google mzee site za kusoma bure na kulipia acha kwenda College unapoteza mda ni bora usome online tu
Edx wahuni. Wazungu wajanja sana. Wanakuita kwa free offer. baadae unapigwa na kitu kizito kichwani.
 
Wakuu now ni full stack web developer miezi michache mbele nitaanza dart kwa ajili ya flutter
Kwa nini ulikuwa huweki update?
Umeweza kudevelop nini mpaka sasa?
Je umejisajili LinkedIn, stack overflow nk.
Je umejipima vipi kwa vigezo vopi? Umefanya certification ?
Je ukilivaa dude Java c++ nk au ndio .
Je umeanza kutafuta kazi professionaly ?
Hongea sana kujiongezea kitu ktk technolojia adhim.
Sasa hivi tubavyojadili tayari tuna AI wakubwa wapo sokoni umejifunza kuzitumia ktk safari yako ?
Mwaja ule 2021 tulikuwa tukijadili mambobkwa muktadha tofautu saba na sasa .
Majadoliano ya makala hizi yanatuonesha ni vipi dunia inaenda kwa kasi ya ajabu. Kumetokea mabaditiko mengi sana.
Ngoja tuone miaka 2 mbele nini kingine kitatokea.
 
Kwanza ninasoma dip ya IT Nje ya hapo nimeowambia full stack web dev hivyo java Na c++ sio ila ni HTML, CSS,JS,PHP,MYSQL
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom