Je, ni watu Gani Maarufu walioharibu fani zao au Maisha yao kwasababu Ya uzembe

Je, ni watu Gani Maarufu walioharibu fani zao au Maisha yao kwasababu Ya uzembe

Uko wap voice Wonder na sauti yako yakipee
Wap Marlow au kifo cha rhita bado kinakuwazisha
Wap Hussein machoz au umepatikana na hatia ya yule aliyefia ghetto
Wap Alicom au ndio selina kakutia kwenye chupa
Wap Mr nice au ndio kisa hatudanganyiki Kuku kapanda baskel....so sad
Wap Ray C au ndio kiuno kishakuwa na mfupa na minyama..I hat drug...sogeasogea
Wap Wagos wa Kaya au ndio mmerudi kulima tanga..et promoter anabeep
BINAFSI NACHANGIA KWAMBA KUPOTEA KWA WASANII KTK KIWANDA HUTOKANA NA YY BINAFSI AMA PIA WALE WENYE DHAMANA YA KUZISIMAMIA KAZI ZAO....SISI TULIWAONA WAKIMEA LAKIN HATUKUJUA PENGINE WALIPEWA UMAARUFU LAKINI MIFUKONI WAKAACHWA WATUPU....TUTAMBUE KWAMBA UMAARUFU AMA KUWA NA KAZI IYOKUBALIKA SANA KTK JAMII HAIMAANISHI PIA MIFUKONI MWAO KUNAMINOT MINGI...WENGINE WALITOKWA JASHO LAKINI WAKAAMBULIA VISENT TOKA KWA WAPIGA DILI...DAH KUNA WATU WALIIMBA JAMAN MPAKA UNASUUZIKA MOYONI...ILA MTINDO UNAENDELEA HATA KWA HAWA WA SASA KAMA HAUNA MANAGEMENT NZUR AMA JUHUD NA NIA BINAFSI KUENDELEA KUISHI KWENYE GAME NI NGUMU.USHAURI KWA WASANII WASASA NI WASIFANYE KUIGA YASIYO NA MANUFAA KTK FAN ZAO WALA WASIRIDHIKE NA KUJITUTUMUA KWA HIT ZA MWANZON BALI ANGALAU NYODO ZIFANYIKE UKIWA NA ANGALAU HIT 100 .MAPROMOTA WASAIDIE WASANII WENYE NIA NA UJUZ KTK FANI ZAO...Mtazamo tu
 
Ngoswe - kwasababu aliagizwa akahesabu watu ila penzi lake kwa Mazoea likamponza.
Nimecheka hadi mtaa wa 3 wamenuna [emoji1] [emoji1] you've made up my day [emoji23] [emoji23]
 
Kuna watu walikua maarafu sana kwenye fani zao ila kuna matendo waliyafanya ya kizembe sana au ya kijinga mno ambayo yameharibu maisha yao au umaarufu wao, Tafadhali mtaje jina na uelezee alipobugi.

Mimi Naanza na Shkuba,
Shkuba alikua maarufu na mwenye hela nyingi mno,alishaondoka bongo na kuhamia afrika ya kusini na huku biashara zake zikienda vyema pia alishaonywa asirudi tena bongo,haikujulikana ni homesick au nn? Ila shkuba akarudi,na siku anaondoka kurudi south, alishushwa kwenye ndege maana alishaboard,mpaka leo shkuba imebaki hadithi tu yanayompata hayahadithiki,laiti kama hakujiamini sana akarudi.
Ajae kufulia zaid m mbowe
 
Jei Pi Emu kutoka kuonekana malaika mlinzi wa mali na roho maskini hadi kuonekana malaika mtoa roho za maskini
 
Boban. Mfano wa wachezaji wanaoumiza kama kweli unajua maana ya "fundi wa soka"
Yani huwa sitaki kuamini uhalisia, huyu jamaa alikua ni moja ya mafundi wa soka kupata kutokeaa yani huwa naumia sanaa nikimfikiria huyu fundi..
 
Yani huwa sitaki kuamini uhalisia, huyu jamaa alikua ni moja ya mafundi wa soka kupata kutokeaa yani huwa naumia sanaa nikimfikiria huyu fundi..
Kaka acha tu, Boban nilimuona akiwa na Moro United, aiseeee, acha kabisa. Na baadae akahamia SIMBA, aisee! Kile kiwango ungeweza kukataa kama ni Mtanzania.
 
Back
Top Bottom