Griseofulvin
JF-Expert Member
- Sep 15, 2016
- 1,012
- 1,995
Dj Fetty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi pia aiseeNimetaman kuijua story ya shkuba mm siijui
TIDDaz Fadha.....Firouz.....Chied....Kaa la Mula....just to mention few.....labda sembe ndo tatizo.....
Nimecheka hadi mtaa wa 3 wamenuna [emoji1] [emoji1] you've made up my day [emoji23] [emoji23]Ngoswe - kwasababu aliagizwa akahesabu watu ila penzi lake kwa Mazoea likamponza.
Exactly .... mwenyewe nmechekajeJF a place to be haha hahaha
Hiyo picha ya juu. Kwenye paji la uso la 20% ni damu au?
Ajae kufulia zaid m mboweKuna watu walikua maarafu sana kwenye fani zao ila kuna matendo waliyafanya ya kizembe sana au ya kijinga mno ambayo yameharibu maisha yao au umaarufu wao, Tafadhali mtaje jina na uelezee alipobugi.
Mimi Naanza na Shkuba,
Shkuba alikua maarufu na mwenye hela nyingi mno,alishaondoka bongo na kuhamia afrika ya kusini na huku biashara zake zikienda vyema pia alishaonywa asirudi tena bongo,haikujulikana ni homesick au nn? Ila shkuba akarudi,na siku anaondoka kurudi south, alishushwa kwenye ndege maana alishaboard,mpaka leo shkuba imebaki hadithi tu yanayompata hayahadithiki,laiti kama hakujiamini sana akarudi.
HahahahaLowasa alidanganywa na mbowe mdaiwa sugu wa nhc na genge lake wakamulia hela zake
Yani huwa sitaki kuamini uhalisia, huyu jamaa alikua ni moja ya mafundi wa soka kupata kutokeaa yani huwa naumia sanaa nikimfikiria huyu fundi..Boban. Mfano wa wachezaji wanaoumiza kama kweli unajua maana ya "fundi wa soka"
Kaka acha tu, Boban nilimuona akiwa na Moro United, aiseeee, acha kabisa. Na baadae akahamia SIMBA, aisee! Kile kiwango ungeweza kukataa kama ni Mtanzania.Yani huwa sitaki kuamini uhalisia, huyu jamaa alikua ni moja ya mafundi wa soka kupata kutokeaa yani huwa naumia sanaa nikimfikiria huyu fundi..