Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliNaijua siri hiyo na mifumo hiyo pia.
Wewe unajua nini tuambie.Sio kweli
Dunia inasiri kiasi kwamba mpk mapepo hayataki tuzijuwe vipi kuusu Mungu anaitaji tuzifahamu pia sisi izo siri mapepo wanazo zizuia tusizijuwwe?Ukifikia level flani ni vigumu kwani unakuwa na siri nyingi ambazo wenyewe hawataki zijulikane.
1Chagua moja kati ya haya
1. Tajiri anaeishi kwa uvumilivu mkuu wa kujinyima vitu fulani ili afikie malengo yake ya utajiri
2. Tajiri anaeteseka, mali nyingi ila mateso yapo pia ili ujutie vya dezo
Haya chagua