Kujadili na kufatilia mambo haya ni kupoteza muda wako tu
Maana utatumia muda mwingi,nguvu nyingi kuyafatilia
Mwisho wa siku hakuna lolote ukatalo pata
Chagua moja kati ya haya
1. Tajiri anaeishi kwa uvumilivu mkuu wa kujinyima vitu fulani ili afikie malengo yake ya utajiri
2. Tajiri anaeteseka, mali nyingi ila mateso yapo pia ili ujutie vya dezo
Haya chagua