Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Kinachomatter ni mfuko tu na kipi roho inapendaWajinga wajinga watakuja na hoja kwamba Nissan hazitengenezek, spear gharama na upuuzi mwingine mwingi...
Hajasema Nissan Patrol, ni Nissan Extrail, je unaijuwa hiyo gari?Wajinga wajinga watakuja na hoja kwamba Nissan hazitengenezek, spear gharama na upuuzi mwingine mwingi...
Kwa nini mkuu.Kwangu siyo best idea.
Naomba mfano wa hizo features mkuu.Best Idea maana Nissan ina features zaidi ya Hiyo Vanguard ya 2011.
Nissan motto “Innovation that excites”
Mkuu rudi na hizo reasons tafadhaliMandonga anakwambia utakua umeyakanyaga ngoja nakuja na reason kama 4 au 5 ivi
So wewe wazo lako ni lipi kiongoziWajinga wajinga watakuja na hoja kwamba Nissan hazitengenezek, spear gharama na upuuzi mwingine mwingi...
Hakuna gari isiyotengenezeka ni pesa yako tu Mkuu! hata Nyumbu inatengenezeka!!Wajinga wajinga watakuja na hoja kwamba Nissan hazitengenezek, spear gharama na upuuzi mwingine mwingi...
Watu dizaini hii utakuta anakaa kwa Shemeji, hana hata Bodaboda ya mkataba.Sema kubadilisha usafir hayo sio magar Mzee ayo ni mota imefungiwa magurudumu
Masikini Muna hasiraSema kubadilisha usafir hayo sio magar Mzee ayo ni mota imefungiwa magurudumu
Ingejenga hoja kwamba spea za Toyota zinapatika kirahisi ungeeleweka...Mkuu usitoke kwenye Toyota kaa humo. Kibongobongo Toyota Ina mafundi wengi wanaojua madhaifu yake. Nissan wengi wataanza kujifunza kutengeneza hiyo ya kwako.
ikiwa mfuko unaruhusu na ukawa tayari kulipia gharama kubwa kwa service ya kawaida unaweza kukaa kwenye Nissan.
Binafsi nimepitia changamoto kadhaa za spea na ufundi nilipomiliki gari tofauti na Toyota . Kwa sasa
Nitatoka kwenye Toyota siku Tanzania ikiwa dona kantri.