Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

 
 
 
 
unachangia jukwaa lenye watu tofaut na level tofaut za kielimu kama hujui ni bora ukae kimya hapo kwenye proton na electron kasome models hizi bohr atomic model na quantum atomic model utaelewa ndo urudi kuchangia tena!
Mkuu,
Cha kwanza nisamehe kama nitakuwa nimepotosha kwakuwa kila binadamu ana ukomo wa fikra, cha pili kama ni uongo kuwa sayansi haijaundwa kuuliza maswali kama nilivyosema toa ushahidi basi wa maswali yaliyojibiwa na sayansi. Na ukitegemea yapo maswali rahisi sana ambayo majibu yake ni magumu kwa mfano, kwanini tunakufa, mbona kuna taabu na majonzi katika ulimwengu, mbona kuna mpangilio katika ulimwengu nani je kauweka na kadhalika.
 
Mengi tu mkuu.
(1)Dunia Ni Duara (hakuna proof)
(2)Dunia inazunguka(hakuna proof)
(3)Dunia inatababaka tatu(miamba tatu) (hakuna proof)

Upumbavu tu mkuu ila kwa upande mwingne imesaidia sana(ifike muda wakubali kuwa kuna vingne wanaviweza (vingne hawaviwezi) wamuachie aliyevitengeneza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…