Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Je, ni yapi mapungufu ya sayansi?

Wanaweza kukubaliana au kuassume uongo alafu wapenzi wake wakaona ni kweli.

Mfano hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa maandiko ya tabia nchi yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira na hewa ukaa.
Pia hawawezi kuthibitisha miujiza scientically hata kama imefanyika mbele ya macho yao.
Haya majibu yako inasikitisha sana kama huu ndio uwezo wa vijana wetu safari ni ndefu hatuwezi kufika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wapo humu wanasayansi wa unajimu na sayari,waje watuambie kuna distance au umbali wa uniti ngapi kutoka nyuzi moja ya longitude mpaka nyuzi nyingine

Kwa mfano tunaambiwa kila baada ya nyuzi moja mda wake utakuwa ni dakika nne au kila baada ya nyuzi 15 mda wake ni lisaa limoja

Sasa katika distance je kuna uniti ngap au km ngapi kwa kila baada ya nyuzi kumi na tano?
Usijali utapata majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma kitu kinaitwa "Godel's Incompleteness Theorem".

Halafu soma kitabu cha Karl Popper "The Logic of Scientific Discovery".

Hiyo ni homework yako.

Pia, dhana nzima ya "kitu kisicho kasoro" ni kasoro ya kifikra.

Nakukumbusha bro,tofauti yangu na yako ni kuwa wewe unaendeshwa na dhana kadhalika kuabahatisha huku mimi naendeshwa na uhalisia wa mambo.

Sasa nakuuliza swali je binadamu amekamilika ? je binadamu ni nani
 
Hii dhana ya kusema "Kitu kisicho kasoro" umeipata wapi bro ?
 
Nakukumbusha bro,tofauti yangu na yako ni kuwa wewe unaendeshwa na dhana kadhalika kuabahatisha huku mimi naendeshwa na uhalisia wa mambo.

Sasa nakuuliza swali je binadamu amekamilika ? je binadamu ni nani
Kuna kipi kilicho na uhalisia kisichoendeshwa na kuwa na chimbuko katika dhana?

Kuna kipi kilichokamilika, kisicho na kasoro au mapungufu ambacho unaweza kukithibitisha hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili mwisho iwaje ?
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa tuchukulie hivyo kuwa scientific theory na scientific proof ni sawa
ni wapi ilipotokea kuwa gravity was tested and observed and repeated
where in the history of the world that happened to test water and everything get stuck in the outside of the rock that is suspended in gravity,thats the earth

Thanks mkuu. Kama umesoma physics ya form one mpaka four na ukafaulu isingekuwa shida. Labda jaribu kupitia hapa uone the first experiment trying to understand Gravity

Cavendish experiment - Wikipedia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wamehamisha mada kwenye dini na sayansi kipi kinasema ukweli
 
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona huajaelewa mada bali unahisi kama vile umeelewa mada. Mada iko wazi sana hasa ukimakinika na utangulizi nilioutoa.

Jitahidi kujibu hoja pale unapotakiwa kujibu hoja. Huko kote ulikoenda ni makapi tu na mashina ya ule mizizi ya sayansi au matokeo.

Kilichokuwemo kwenye mada ni misingi ya Sayansi sasa kama wewe unakurukupuka,kita goti chini kisha usome tena na tena.

Sasa kama huijui misingi ya Sayansi bora uchague kuwa msomaji. Husemwa ukitaka kumnyima mtu elimu basi mnyime misingi ya elimu husika.

Sasa ukitaka kujibu hoja yangu jibu kuhusiana na misingi ya sayansi,sio matokeo ya sayansi. Kama misingi sio imara huwezi kupata matokeo chanya tena imara. Hapa sina haja ya kutoa mifano.

Halafu kuna misingi kumi ya kuzingatia ukitaka kujifunza fani yeyote. Hii nimekupa akiba na nina uhakika misingi hiyo huijui bali hata hao walio wabebesha ma nadharia ya kukisia hawaijui pia. Tangu lini kitu kilichopinda kikatoa kivuli kilicho nyooka ?
 
We unaona ulichokileta kina akili kweli..?! Umepitia maandiko mangapi ndo ukaja na hilo andiko lako. Maana wenzio wanasayansi huwa hawaleti tu mapungufu bila ya kuangalia wenzao wamefikia wapi kwenye hilo pungufu..! Je ulijisumbua kusoma?! Mmoja ya watu wanaokubaliana na wewe wanasema "Gravitational force haijawa proved" wewe unasemaje? Unakubaliana nao? Wanzako wanasema maana ya Theory ni sawa na Scientific theory wewe unasemaje?! Unakubaliana nao? Na nikusaidie kitu, mada uliyoleta ipo very broad na inaonekana wazi hujaganya utafiti wa kutosha. Nenda kasome ndo urudi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii kauli ya kusema "We unaona ulichokileta kina akili kweli..!?". Kauli kwanza inaonyesha una tatizo kubwa sana la kuoanisha jambo moja kwa lingine la mfano wake au kufanana nalo au kuhusiana nalo au kwalo.

Sikuzote tamko "kina...." haliambatani na tamko "akili". Sasa kama umeshindwa kutofautisha hili dogo je hayo makubwa utayaweza ?

Unaposema nilichokileta bila shaka ni kitu,sasa tangu lini kitu kikawa kina akili mzee ?

Kuwa makini bro ! Hapa hatupigi story tunaongelea mambo ya kielimu.

Sasa rekebisha kauli yako kisha tuendelee na pale ulipoishia.
 
Kuna kipi kilicho na uhalisia kisichoendeshwa na kuwa na chimbuko katika dhana?

Kuna kipi kilichokamilika, kisicho na kasoro au mapungufu ambacho unaweza kukithibitisha hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah,vipo vingi sana ambavyo haviendeshwi kwa dhana. Hivi kwanza kabla sijaendelea unajua nini maana ya dhana ?

Hivi ushawahi kukuta uhalisia ukaenda sambamba na dhana ?

Mambo yaliyo na uhalisia yasiyoendeshwa na dhana ni njaa,kifo,kulala,kuamka,kula,kupika,kutembea, na mengine kadha wa kadha.

Naona pia hujajua unapotumia kauli "Kuna kipi...". Bro sikufichi kauli hii inakufunga pakubwa sana na hata ukitaka kutafuta pakutokea utashindwa. Sasa jaribu kwanza kufikiri kabla au unapotaka kutumia kauli hiyo,sababu kipi bila shaka ni kitu.

Sasa unapojaribu kuyapa dhamiri ya kitu majambo. Lazima ujue pia kinyume kipoje.

Tuendelee na mjadala.
 
Unaposema kifo hakiendeshwi kwa dhana, unajua hiyo ni dhana?

Kifo cha nani?

Unaelew kwamba si dhana zote ziko tofauti na uhakisia?

Unaelewa kwamba juna dhana zilizo mzizi wa uhalisia?

Nikikwambia jua litaonekana kuchomoza kesho, hiyo ni dhana au uhalisia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom