impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Haya majibu yako inasikitisha sana kama huu ndio uwezo wa vijana wetu safari ni ndefu hatuwezi kufika.Wanaweza kukubaliana au kuassume uongo alafu wapenzi wake wakaona ni kweli.
Mfano hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa maandiko ya tabia nchi yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira na hewa ukaa.
Pia hawawezi kuthibitisha miujiza scientically hata kama imefanyika mbele ya macho yao.
Sent using Jamii Forums mobile app