Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Nmepitia michango hata nusu yake sijafika ila nimepata dukuduku ikabidi nilitoe. Watu wanaandika tu kishabiki bila ya kujua. Wanaleta siasa mpaka kwenye mambo ambayo ayahitaji siasa..! Mtu anataka proof ya uwepo wa gravity (unamsaidiaje mtu kama huyu?) Maana hapo inaonyesha kuwa kuna stage katika ukuaji wa kupata knowledge aliruka (aidha kwa makusudi au kwa mfumo mbaya wa utoaji elimu wa tanzania)
Tatizo letu hatujui mambo but tunaleta issues za mabaraza ya kahawa..! Kila kitu tunajifanya tunajua..! Hivi mnadhani mpaka kitu yako ikubarike kisayansi huwa ni issue rahisi eeeh?! Tusipende kuropoka tu.
JF inasifika kwa kuwa na great thinkers ila kwa hapa naona ni ujinga uliopitiliza..! Soma vitu, kama huna vitabu mambo mengi yapo kwenye internet soma hata huko. Kama wewe form four ulikwenda kukua nyamaza kimya..! Kama form four ulisoma arts kaa kimya maana mambo mengi mnayoleta michango ya aibu yamefafanuliwa vizuri sana kwenye elimu ya odinary level (Physics, Chemistry, Geography na hata Biology)
Yaani wanaandika watu wengine AIBU napata mimi daah..! Hii hatari..!
Sent using Jamii Forums mobile app