Je ni yupi anapaswa kulaumiwa nyoka au ibilisi?

Msamaha ulikuwa sio wa hapo hapo...lazma utumike adhabu uonje ghadhabu ya Mungu. Kumbuka kipindi cha kina musa...
kipindi cha Musa ilikuwa siku zimeshaenda sana Mungu akachoshwa na kiburi cha mwanadamu, hii ya eva na adam ni mwanzoni kabisa wakiwa binadam wawili tu Duniani. Hivyo Mungu alikuwa bado anampenda adam na alikuwa na nafasi moyoni mwake
 
Hii ni mpya mkuu.
Thanks
 
Kwa nn nyoka alipewa akili nyingi akawa mwerevu zaidi kuliko wanyama wote,,,? Ukinijibu utajua wa kulaumiwa ni nani?
kwanza huyo nyoka alikua wa aina gani maana alikua anaongea
 
Ibilisi alikuwa ni malaika na alitaka kuipindua Mungu Means alikuwa na nguvu karibu na Mungu na pia hakunyang'anywa zile nguvu alizokuwa nazo.
Kwa nini hakunyang'anywa hizo nguvu??...
 
Sawa sawa 1 nyoka ni Ibilisi zile ni lugha za picha. Fikiria ni nyoka gani mwenye kuongea? Au ndo tuamini zamani sungura na fisi wan
Ibilisi hakua malaika.
Ni malaika aloasi
 
IlUOTE="Mr What, post: 18984707, member: 394702"]Kwa nini hakunyang'anywa hizo nguvu??...[/QUOTE]
Ili mimi na ww tuchague njia sahh
 
Ni vema umeuliza swali hili naomba pia niulize je Kuna dhambi ya Kurithi? Yaani mtoto anazaliwa na dhambi ya kurithi?
 
Soma tena hiyo Biblia yote utaelewa vizuri
 
Mkuu imekaa POA! Au, pia tunaweza muuliza ndugu Siwila, MTU akimuua mwenzake kwa bunduki analaumiwa mtengeneza bunduki?
Hv baba mwenye upendo wote na ujuzi wote anaweza kuweka sumu kwenye chumba anacholala mtoto wake mwenye umri wa miaka 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…