Je ni yupi anapaswa kulaumiwa nyoka au ibilisi?

Je ni yupi anapaswa kulaumiwa nyoka au ibilisi?

Hizi nadharia za uumbaji inategemea na unachukua nadharia IPI ndio sahihi kwako hakuna majibu ridhisi ya moja Kwa moja shikilia unachokiamini zipo nadharia uamini Mungu na shetani ni kitu kimoja,pia kuna nadharia zinazomkosoa Mungu kwamba kwann alimruhusu shetani duniani hi hali wanadamu tu dhaifu,wapo wajiulizao baada ya gharika dhambi ilitoka wapi maana waovu wote walichomwa moto na walioingia safina walikuwa safi.cha msingi aamini ukiaminicho ukichunguza utaona kila imani nadharia yake iko na shaka
 
Yaani hapo bwana Kenstar umeongea ukweli kabisa hakuna majibu ya moja kwa moja kwa sababu kila mtu anaona anacho amini yeye ndio sahihi kuliko wengine.
 
Ibilisi alikuwa ni malaika na alitaka kuipindua Mungu Means alikuwa na nguvu karibu na Mungu na pia hakunyang'anywa zile nguvu alizokuwa nazo.
Hayo uliyosema yapo kwenye biblia?
 
Mchawi "bibi" akijigeuza kuwa paka

Wakulaumiwa ni paka au bibi mchawi
 
Back
Top Bottom