Hizi nadharia za uumbaji inategemea na unachukua nadharia IPI ndio sahihi kwako hakuna majibu ridhisi ya moja Kwa moja shikilia unachokiamini zipo nadharia uamini Mungu na shetani ni kitu kimoja,pia kuna nadharia zinazomkosoa Mungu kwamba kwann alimruhusu shetani duniani hi hali wanadamu tu dhaifu,wapo wajiulizao baada ya gharika dhambi ilitoka wapi maana waovu wote walichomwa moto na walioingia safina walikuwa safi.cha msingi aamini ukiaminicho ukichunguza utaona kila imani nadharia yake iko na shaka