Nilitaka kusema hivyo hivyo. Nimeshangaa nimeangalia list sijamwona wakati da’vinci ndio alikuwa hatari kabisa yani hatari kuliko wote picha lake kubwa lilitakiwa liwe pale juu kabisa, he was an Anatomist, Architect, Astronomer, Botonist, Cartographer, Engineer, Geologist, Hydrodynamicist, Mathematician, Musician, Theatre producer, Scientist, Inventor, kwahiyo huwa nashangaa sana wanapowasema kina newton , namkubali sana huyu mwamba, alizaliwa 1452 , 15th April 10:30pm na mama mmoja anaitwa Catarina, huko Florence Italy kwenye kijiji kinaitwa Da’vinci…Kwenye huu uzi Leonardo anatakiwa awe pale juu alafu picha ni KUBWA SANA MASTA