Alikuwa mtoto wa nje ya ndoa ndiyo maana hakukubaliwa katika shule nyingi kipindi hicho ila baba yake mzee ser piero da vinci alimpeleka kwenye chama cha wachoraji kinachojulikana kama "Compagnia di San Luca ambacho kipo Florence" jamaa akachuliwa hini ya veroccio kwa miaka mitano nadhani .
Kiufupi ni kwamba hata hicho alichokisomea yaani uchoraji na uchongaji vilimsaidia kwenye vumbuzi zake nyingi sanaaa in short "neil degrasse tyson" aliwahi kutoa quote moja ambayo napenda kuitumia mpaka leo ni kwamba "SCIENTIST SIO YULE ANAYESOMEA KWA MIAKA MINGI NA KISHA AKAWA ANAINGIA MAABARA KUFANYA CHUNGUZI ,SCIENTIST NI YULE MWENYE CURIOSITY"
mambo mengi ya kisayansi yamevumbuliwa kupitia curiosity za watu .......
Am out