Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Iko hivi kama jinsi nyinyi wanawake mlio wengi mnatupima kama tunawapenda Kwa kuwapa hela basi nasi Sisi tunajua mnatupenda kama mnatupa mbususu yaan iko ivyo!

Sasa basi nije kwako....Salim kwakuwa umemnyima mbususu Kwa Mda mrefu huenda kutokana na wewe kumuonyesha mbususu iko mbichi basi atakomaa na wewe ili aone yaliyomo yamo au laa! So unaweza MPA mbususu then ukapigwa na kitu kizito! Sasa basi kuna njia moja ya kujua kama Salim kweli anataka mbususu Tu au yupo serious? Mwambie nipo tayar kuwa mke wako wa pili ila mbususu mpaka akuoe....hlf angalia kama utaendelea kutumiwa nauli tena!

Kuhusu mchungaji nachelea kusema LOLOTE...Ila kama mchungaji aliomba mbususu ukamkwepa basi ishu ni hiyo hiyo...Ila kama hajaomba mbususu basi naamini mchungaji anataka kuuona ufalme WA mbinguni!

Ila ukiendelea kutokujua unataka nini....tegemea kutengeneza story ndefu ktk Maisha kama uliyotuhadithia Leo.

Kuna mwanamke mmoja nilikuwa nimuoe naye alikuwa na mambo kama yako,alikuwa na option nyingi,aliniambia kuwa Mimi ni muongeaji Sana...so watu kama Sisi huwa ni waongo...nikweli mm ni muongeaji kiasi chake....pili aliniambia kuwa mm naweza kumuacha na katoto kakiwa kachanga..alisema hivyo kwakuwa nilikuwa na msimamo katika baadhi ya mambo so Akaona hapa huyu kidume noma! Baadae nikamwambia Mimi naoa wacha atume mameseji ya lawama kuanzia mchana,usiku na alfajiri....miaka Saba baadae nikiwa ndani ya ndoa yeye hajaolewa.

Kwahiyo alikuwa na option nyingi kama zako na hakujuwa yupi ni mtu sahihi....
 
Fanya jaribio hili utspata jibu!
Andaa chakula kikiwa na ndizi.3!
Mkisha maliza kula kila mmoja atakula ndizi.1;
Ukiona ile ndizi ya.3 kaila yeye huyo atakuua na njaa!
Ukiona anakuhimiza uile ww hiyo ndizi ujue huyo ni mnafiki!
Ukiona kaimega ile ndizi kala ½ na nusu kakupa ww nawe ule usimuache hilo ni Jembe!
Aksante!
 
Hatujasahau Uzi wako ...ulojiapiza kuwa utamfanya kitu mbaya kijana Haya_Land.... Na Tetesi zinasemekana kijana alikuwa amekuchakata vya kutosha...sema umri wako ndio hivyo...

Heeeee kumbe kuna uzi wangu na hamniambii
 

Ushaurii mzuri kweli… ila kumwambia mtu anioae ndio naogopa asije akafanya kweli bure na mimi sina uhakika nao

Kingine huyo Salim pia alinambia kama simuamini yaani nahisi anataka kunichezea basi hatonigusa mpk Atakaponioa ama mimi mwenyewe kumruhusu

Na ukweli hajawahi niomba kunikula hata siku moja hajawai
Mimi tu nimejisikia tu kumuonea huruma angalau pesa ake isiende bure sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Duuh [emoji1787][emoji1787]
 
Nakupongeza sana kuwa hvyo mpk Sasa , usikubali kutoa k yako kama pipi,, Salim anaweza kua mtu sahihi, aliogopa kutenda dhambi na akasema anataka amuulize Mungu kwanza, Hii nayo ni hekima ya kiMungu kabisa, usimjibi vibaya usije ukashindwa kurudi utakapomwitaji, msikilize anasemaje Sasa baada ya muda huo ulipopita, huenda nae kapata amani ndio maana amekutafuta
 
By the way, nmependa style zako za mahusiano, ndivyo inavyotakiwa,
 

Amen kwa Frank
 
Kwa hio unatakaje
 
Aisee sijajua Kama inawezekana kukaa single yaani Ka simu kangu kasiingize hata Ka sms cha babe umekula [emoji3][emoji3]

Ngoja nijaribu
Zinakusaidia nini?

Una chembe chembe za porn star
 
Ni Ngumu sana Kumshauri Malaya, Malaya ni kumwacha ajiamulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…