Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Iko hivi kama jinsi nyinyi wanawake mlio wengi mnatupima kama tunawapenda Kwa kuwapa hela basi nasi Sisi tunajua mnatupenda kama mnatupa mbususu yaan iko ivyo!
Sasa basi nije kwako....Salim kwakuwa umemnyima mbususu Kwa Mda mrefu huenda kutokana na wewe kumuonyesha mbususu iko mbichi basi atakomaa na wewe ili aone yaliyomo yamo au laa! So unaweza MPA mbususu then ukapigwa na kitu kizito! Sasa basi kuna njia moja ya kujua kama Salim kweli anataka mbususu Tu au yupo serious? Mwambie nipo tayar kuwa mke wako wa pili ila mbususu mpaka akuoe....hlf angalia kama utaendelea kutumiwa nauli tena!
Kuhusu mchungaji nachelea kusema LOLOTE...Ila kama mchungaji aliomba mbususu ukamkwepa basi ishu ni hiyo hiyo...Ila kama hajaomba mbususu basi naamini mchungaji anataka kuuona ufalme WA mbinguni!
Ila ukiendelea kutokujua unataka nini....tegemea kutengeneza story ndefu ktk Maisha kama uliyotuhadithia Leo.
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa nimuoe naye alikuwa na mambo kama yako,alikuwa na option nyingi,aliniambia kuwa Mimi ni muongeaji Sana...so watu kama Sisi huwa ni waongo...nikweli mm ni muongeaji kiasi chake....pili aliniambia kuwa mm naweza kumuacha na katoto kakiwa kachanga..alisema hivyo kwakuwa nilikuwa na msimamo katika baadhi ya mambo so Akaona hapa huyu kidume noma! Baadae nikamwambia Mimi naoa wacha atume mameseji ya lawama kuanzia mchana,usiku na alfajiri....miaka Saba baadae nikiwa ndani ya ndoa yeye hajaolewa.
Kwahiyo alikuwa na option nyingi kama zako na hakujuwa yupi ni mtu sahihi....