mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #101
Kwa hio unatakaje
Nataka ushauri wako wewe [mention]Agera 1 [/mention] au unafikiri nimeandika kukufurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio unatakaje
Ndo nashangaa kwamba tutakachomwambia atafanya au kaamua kutuonesha namna hana akili
Mimi ndo huyo alex sasa [emoji23]
Ni Ngumu sana Kumshauri Malaya, Malaya ni kumwacha ajiamulie.
Mapenzi/ Ndoa na hekaheka zake!!
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji38][emoji38][emoji38]
Nyie mbona mnamisururu mimi kumiliki wawili tu🤌🤌
Hii sijui imekaaje wakuu.
Yan nikukatie tiketi uje kwa ajili ya kuchekeana tu,huu si uboya uliotukuka na kutuletea aibu wanaume,au hao ni kaka zako unataka kutunywesha chai bila ata sukari[emoji848][emoji848][emoji848]
Weka picha za hao mapimbi hapa tuwatoe kwenye list ya wanaume[emoji37][emoji37][emoji37]
HahahaHamjakulana !!? Ahhhgh hii chai hii
Kwa age yako bado una kamuda kakupoteza kidogo angalau miaka miwili mitatu.
Nikuhakikishie tu kwamba tayari upo mikononi mwa matapeli wawili (Alex&Salum) na mlokole mmoja asieeleweka.
Huu ni sawa na mkeka wa betting, mimi ningekushauri u bet kwa frank. Tatizo la huyu bwana ni uwezekano mkubwa wa yeye kuwa na personal issues zilizojificha ktk kivuli cha dini. Au ana mitazamo na imani zile zilizo kubuhu pasipokushirikisha akili , mtu wa namna hii ni hatari. Huyu ni aina ya watu ambao naweza kukuambia test mitambo kabla hujaingia kwenye ndoa..lakini kati ya hao unaweza ku bet nae, mpe more time ,mueleze mapungufu yake ,zungumza nae na kuwa karibu utapata majibu ya maswali yako.
otherwise unaonekana bonge la wife material, ningekuwa na mpango wa kuoa ningeslide inbox chap kuomba mazungunzo zaidi.
Kweli kabisa wanaume gani hao wanalipia pisi kali ticket alafu usichakate mbususu. Hapa mamamzungu inabidi utueleze vizuri maana it dnt make sense at allHii sijui imekaaje wakuu.
Yan nikukatie tiketi uje kwa ajili ya kuchekeana tu,huu si uboya uliotukuka na kutuletea aibu wanaume,au hao ni kaka zako unataka kutunywesha chai bila ata sukari[emoji848][emoji848][emoji848]
Weka picha za hao mapimbi hapa tuwatoe kwenye list ya wanaume[emoji37][emoji37][emoji37]
Sasa huyo sii ndio mzuri. Pepo wa uzinzi hatamkaribia so de libolo litakuwa lako weye peke. Usichezee bahati hiyo au wataka kuwa mke wa pili muwe mwapiga threesome😜Hapo kwa Frank hapo nahisi tunafanana mawazo
Maana baada ya kufiwa na mama ake alibadilika yaanii akawa yeye na Mungu na kanisa tu
So mpk leo yuko hivyo…
[emoji1787][emoji1787] usipende kulakula kila mwanamke wengine unawaacha tu
Sasa huyo sii ndio mzuri. Pepo wa uzinzi hatamkaribia so de libolo litakuwa lako weye peke. Usichezee bahati hiyo au wataka kuwa mke wa pili muwe mwapiga threesome[emoji12]
Sipati picha wakianza kuirukia hiyo mbususu itakua vita ya ukraine.
Na wakatawanyika wakimaliza kuizagambuza
Anaeweza kukusafirisha ili mkachekeane ni ndugu yako tu au mwanamke mwenzio tu.
Sasa nakusafirisha uje nlipo bila kula mbususu tuna biashara gan muhimu sana yakusafirishana kama sio kuleta mbususu ambayo siwezi kuila kupitia simu[emoji39][emoji39][emoji39]
Makasiriko makasiriko makasiriko
Story yangu makasiriko ya nini kama huna cha kushauri unapita tu kama wenzio mbona uzi umefunguliwa na wengi ila wachangiaji wachache
So kama unaona uzi hauna akili ni afadhari ukapitaa mbio kutafuta uzi wenye akili
Acha kusoma uzi wa watu wasio na akili [mention]Agera 1 [/mention]
[emoji2368][emoji2368]