Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Ndo nashangaa kwamba tutakachomwambia atafanya au kaamua kutuonesha namna hana akili

Makasiriko makasiriko makasiriko

Story yangu makasiriko ya nini kama huna cha kushauri unapita tu kama wenzio mbona uzi umefunguliwa na wengi ila wachangiaji wachache

So kama unaona uzi hauna akili ni afadhari ukapitaa mbio kutafuta uzi wenye akili

Acha kusoma uzi wa watu wasio na akili [mention]Agera 1 [/mention]

[emoji2368][emoji2368]
 
Hii sijui imekaaje wakuu.
Yan nikukatie tiketi uje kwa ajili ya kuchekeana tu,huu si uboya uliotukuka na kutuletea aibu wanaume,au hao ni kaka zako unataka kutunywesha chai bila ata sukari[emoji848][emoji848][emoji848]
Weka picha za hao mapimbi hapa tuwatoe kwenye list ya wanaume[emoji37][emoji37][emoji37]
 
Kwa age yako bado una kamuda kakupoteza kidogo angalau miaka miwili mitatu.
Nikuhakikishie tu kwamba tayari upo mikononi mwa matapeli wawili (Alex&Salum) na mlokole mmoja asieeleweka.

Huu ni sawa na mkeka wa betting, mimi ningekushauri u bet kwa frank. Tatizo la huyu bwana ni uwezekano mkubwa wa yeye kuwa na personal issues zilizojificha ktk kivuli cha dini. Au ana mitazamo na imani zile zilizo kubuhu pasipokushirikisha akili , mtu wa namna hii ni hatari. Huyu ni aina ya watu ambao naweza kukuambia test mitambo kabla hujaingia kwenye ndoa..lakini kati ya hao unaweza ku bet nae, mpe more time ,mueleze mapungufu yake ,zungumza nae na kuwa karibu utapata majibu ya maswali yako.

otherwise unaonekana bonge la wife material, ningekuwa na mpango wa kuoa ningeslide inbox chap kuomba mazungunzo zaidi.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Nyie mbona mnamisururu mimi kumiliki wawili tu🤌🤌
[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hii sijui imekaaje wakuu.
Yan nikukatie tiketi uje kwa ajili ya kuchekeana tu,huu si uboya uliotukuka na kutuletea aibu wanaume,au hao ni kaka zako unataka kutunywesha chai bila ata sukari[emoji848][emoji848][emoji848]
Weka picha za hao mapimbi hapa tuwatoe kwenye list ya wanaume[emoji37][emoji37][emoji37]

[emoji1787][emoji1787] usipende kulakula kila mwanamke wengine unawaacha tu
 
Kwa age yako bado una kamuda kakupoteza kidogo angalau miaka miwili mitatu.
Nikuhakikishie tu kwamba tayari upo mikononi mwa matapeli wawili (Alex&Salum) na mlokole mmoja asieeleweka.

Huu ni sawa na mkeka wa betting, mimi ningekushauri u bet kwa frank. Tatizo la huyu bwana ni uwezekano mkubwa wa yeye kuwa na personal issues zilizojificha ktk kivuli cha dini. Au ana mitazamo na imani zile zilizo kubuhu pasipokushirikisha akili , mtu wa namna hii ni hatari. Huyu ni aina ya watu ambao naweza kukuambia test mitambo kabla hujaingia kwenye ndoa..lakini kati ya hao unaweza ku bet nae, mpe more time ,mueleze mapungufu yake ,zungumza nae na kuwa karibu utapata majibu ya maswali yako.

otherwise unaonekana bonge la wife material, ningekuwa na mpango wa kuoa ningeslide inbox chap kuomba mazungunzo zaidi.

Hapo kwa Frank hapo nahisi tunafanana mawazo

Maana baada ya kufiwa na mama ake alibadilika yaanii akawa yeye na Mungu na kanisa tu

So mpk leo yuko hivyo…
 
Hii sijui imekaaje wakuu.
Yan nikukatie tiketi uje kwa ajili ya kuchekeana tu,huu si uboya uliotukuka na kutuletea aibu wanaume,au hao ni kaka zako unataka kutunywesha chai bila ata sukari[emoji848][emoji848][emoji848]
Weka picha za hao mapimbi hapa tuwatoe kwenye list ya wanaume[emoji37][emoji37][emoji37]
Kweli kabisa wanaume gani hao wanalipia pisi kali ticket alafu usichakate mbususu. Hapa mamamzungu inabidi utueleze vizuri maana it dnt make sense at all
 
Hapo kwa Frank hapo nahisi tunafanana mawazo

Maana baada ya kufiwa na mama ake alibadilika yaanii akawa yeye na Mungu na kanisa tu

So mpk leo yuko hivyo…
Sasa huyo sii ndio mzuri. Pepo wa uzinzi hatamkaribia so de libolo litakuwa lako weye peke. Usichezee bahati hiyo au wataka kuwa mke wa pili muwe mwapiga threesome😜
 
[emoji1787][emoji1787] usipende kulakula kila mwanamke wengine unawaacha tu

Anaeweza kukusafirisha ili mkachekeane ni ndugu yako tu au mwanamke mwenzio tu.
Sasa nakusafirisha uje nlipo bila kula mbususu tuna biashara gan muhimu sana yakusafirishana kama sio kuleta mbususu ambayo siwezi kuila kupitia simu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Sipati picha wakianza kuirukia hiyo mbususu itakua vita ya ukraine.
Na wakatawanyika wakimaliza kuizagambuza
 
Sasa huyo sii ndio mzuri. Pepo wa uzinzi hatamkaribia so de libolo litakuwa lako weye peke. Usichezee bahati hiyo au wataka kuwa mke wa pili muwe mwapiga threesome[emoji12]

[emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo namna alivyo tabia zake kama haelewekii
 
Anaeweza kukusafirisha ili mkachekeane ni ndugu yako tu au mwanamke mwenzio tu.
Sasa nakusafirisha uje nlipo bila kula mbususu tuna biashara gan muhimu sana yakusafirishana kama sio kuleta mbususu ambayo siwezi kuila kupitia simu[emoji39][emoji39][emoji39]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa[mention]mamamzungu [/mention] utakula kwa macho…. Na ananisafirisha umbali mrefu balaa
 
Naona bado hujajua mention mtu😁

Back
Top Bottom