ukwelimtupu2025
Member
- May 29, 2025
- 35
- 54
Kwanza nataka kujua huyu nffer jovin ni nani?
Hajafika miaka 30 ila ana utajiri mkubwa sana na haueleweki umeanzia wapi na umetokea wapi.
Kingine kwa sasa ameonekana ana ushawishi mkubwa sana kwenye jamii hasa upande wa social media Hasa Instagram.
Nimejiuliza sana ina maana CCM ndo wameamua kumtumia kama plan yao B baada ya kusikia kwamba kwenye campaign zake nyingi anazofanya sasa backup kubwa inatoka CCM.
Je CCM Wamekosa mbinu wa kuwapumbaza hawa Genz mpaka kumtumia niffer ila wao waendelee kujichotea mihela