Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Ujinga wote unafanyikia Instagram, na wenye nyota kama huyo binti wanatoka, maana Bongo ukisapotiwa na wajinga wengi ujuwe umetobowa.Ana ushawishi kwenye eneo lipi?
Anawashawishi wakina nani maana binafsi nalisikia tu hilo jina lakini sijawahi kushawishiwa chochote kupitia yeye.
