Je niffer kwa sasa anatumika kama backup kwa ajili ya kuwapumbaza Gen Z

Ana ushawishi kwenye eneo lipi?
Anawashawishi wakina nani maana binafsi nalisikia tu hilo jina lakini sijawahi kushawishiwa chochote kupitia yeye.
Ujinga wote unafanyikia Instagram, na wenye nyota kama huyo binti wanatoka, maana Bongo ukisapotiwa na wajinga wengi ujuwe umetobowa.

 
Wakati mlivyotaka kumpoteza kimaisha jela hamkuwajuwa haya?

Huyu malaya anaweza kufanya uhaini gani? Kumuiga Samia hakuna nywinywinywi wala nywinywinywi ndio uhaini?

 
Wakati mlivyotaka kumpoteza kimaisha jela hamkuwajuwa haya?

Huyu malaya anaweza kufanya uhaini gani? Kumuiga Samia hakuna nywinywinywi wala nywinywinywi ndio uhaini?

View attachment 3689364
Gentleman,
ukikiuka sheria utawajibishwa tu kwa mujibu wa sheria gentleman regardless wewe ni nani.

sheria za Tanzania hazijawahi kua likizo gentleman.

ni vizuri kuheshimu haki na uhuru wa watu kuamua namna ya kuishi kadiri watakavyo na kadiri waonavyo inafaa, ilmradi tu hawavunji sheria.
Na kabisa hakuna haja ya wivu wala makasiriko kwenye hilo
 
Hujajibu swali Uhaini wa huyo demu ni upi?
Maana tumuweke pembeni Lisu anawanyima raha, huyu Malaya unampa kesi ya uhaini kama si uwendawazimu ni nini?
 
Hujajibu swali Uhaini wa huyo demu ni upi?
Maana tumuweke pembeni Lisu anawanyima raha, huyu Malaya unampa kesi ya uhaini kama si uwendawazimu ni nini?
Punguza mihemko kidogo gentleman plz, na itapendeza zaidi,
halafu hayo inafaa kuelezwa na kufafanuliwa na mahakama huru ya Tanzania na si vinginevyo
 
Aliyekwambia uwe mzee na miaka yako 30+ bila hela nani?

Achana na sisi wewe
Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa,utajiri wakweli unajengwa kwa hatua,kama pesa ni zakwako zitadumu ila kama za magumashi yatakukuta ya vunjabei na chief
 
Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa,utajiri wakweli unajengwa kwa hatua,kama pesa ni zakwako zitadumu ila kama za magumashi yatakukuta ya vunjabei na chief
Vunjabei kitu gani kimemkuta?
Maana mimi sioni kilichomkuta ni anaendelea kuwa tajiri kila uchwao

Maisha yana kuwahi ndugu ndio maana at just 16 mtoto wa kizungu tayari anamiliki kila kitu ambacho wewe utakuja kukimiliki ukistaafu ama usiwahi kabisa kuvimiliki

Mfano mzuri ni gari na fedha. At 16 mzungu tayari anavyo na ana pesa ya kufanya maintenance tena hajakopa
 
Maisha ya wazungu na Sisi Africa ni tofauti,wenzetu vitoto vidogo ni vitajiri kwa sababu ya background ya wazazi wao na mazingira waliyepo
 
Maisha ya wazungu na Sisi Africa ni tofauti,wenzetu vitoto vidogo ni vitajiri kwa sababu ya background ya wazazi wao na mazingira waliyepo
😅😅😅 sasa unavyojiaminisha maisha ya wazungu ni tofauti kaa utambue hapahapa bongo kuna watu wanaishi hayo maisha.

Wewe kama kwenye ukoo wenu kila mtu anaanzaga maisha basi umasikini hadi mnakufa wooote hautokaa muache kupambana nao
 
Planned pale lumumba mazuzu yanapotezwa ujue ccm ni mastermind sana 😂
Afu kule selo nadhani kina mafwele walipiga mzigo
 
Kitu gani una miliki boss
 
Kitu gani una miliki boss
Elimu ya kurithi, imenifanya nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 25 nikafanya kazi miaka 6 nikakopa mkopo mkubwaaa ndio ukanipa nilivyonavyo

Nitafanya kazi ya kuulipa hadi nastafu hautaisha nitakatwa kwenye mafao shuhuli yango imeishia hapo
 
Kama unafikiri niffer ana utajiri mkubwa sana kiasi hicho, basi tatizo la hii nchi sio CCM ni wananchi wenyewe
 
Mnataka wauane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…