klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
inakaribia mwaka sasa tangu afariki, tulikuwa marafiki sna na shost angu, nayumbishwa sana na maneno ya watu ikitokea nkimkubali na wakajua km nipo nae!, tunapenda sana na huyo kaka, japo cjamkubali lkn tunapendana! niko ktk wakati mgumu kaka nisaiedieni
Dah! hii kesi yako ngumu aisee. Kama ingekuwa mnapendana na hauyumbishwi na maneno ya watu ningekwambia go for it kwani sioni tatizo lolote kwenye haya mahusiano zaidi ya vidomodomo vya watu ambavyo vitakuandama na kama hauko strong basi vitakuyumbisha na kukukosesha raha katika mahusiano yako. Mwaka unatosha kabisa kuzika jeraha la msiba.