Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebanaa.. daahkama unampenda na ni furaha yako,mkubali bana........waswahili wanasema kufa kufaana mkuu
Huyo shoti wako alifariki na ugonjwa gani? Ina maana kipindi chote huyo shosti wako alipokuwa hai hukuwa na mtu mpaka akafa na saizi bado huna mtu?
Uhusiano wa marehemu ulifikia wapi kwa maana ya kujulikana?