je nikaze roho nimkubali huyu kaka???

Mimi siwaelewi wale wote mnaosema atakuwa amemsaliti rafiki yake. Hapa unasaliti unaingiaje wakati shosti wa mtoa mada ameshafariki??!!!! Kwa uelewa wangu ninaamini hakuna tatizo lolote na ndio maana mtu anaweza kumuoa shemeji yake (dada wa mkewe) iwapo mke amefariki.

Mkubalie bwana ule raha za dunia acha kuutesa moyo wako bure.
 
Sikiliza sauti kutoka ndani ya moyo wako, ninavyoona mimi unampenda kutoka moyoni mwako. so ukimuacha utapata wakati mgumu.

jambo la pili, marehem hawezi kufufuka, kama kweli kuna chemistry kati yenu basi oaneni!

"There is no relationship between the dead and the living one"
 
Huyo shoti wako alifariki na ugonjwa gani? Ina maana kipindi chote huyo shosti wako alipokuwa hai hukuwa na mtu mpaka akafa na saizi bado huna mtu?

Uhusiano wa marehemu ulifikia wapi kwa maana ya kujulikana?

swali zito hilo alijibu kwanza....!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…