Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

Sema mwamba katisha[emoji23],ila mambo hayo sisi tulifanya kipindi kile balehe ndo inachanganya yaan kila mwanamke nilikuwa napita nae[emoji23]...yaan akiwa na mbususu tu basi kaisha nilivyozizoea sasa mbususu nikawa sasa nachagua aina ya wanawake ambao wananisisimua ndo nadeal nao,mpaka now vigezo vimekuwa vingi sana yaan hadi mwanamke nitumbukize mkuyenge wangu basi ujue ana vigezo vingi sana!
Ndio inakuwaga hivyo sasa usikute jamaa ameanzia ukubwani haya mambo huwa yakichanganya kuacha ni kazi sana kila sampuli inayopita mwili unasisimka ukimpata mrefu kama ngongoti baadae unatamani wa saizi ya kati,baada ya hapo unatamani mbilikimo,ukimaliza hapo unatamani kimodo,baada ya hapo utatamani mwenye mshepu mkubwa,utatamani black beauty,baadae utatamani weupe na cheni inaendelea kuzunguka hivyo
 
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya.
Yan ukishika cm yake unaweza zimia anawanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabint wa kaz, yan tabu yup..
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Pacha wangu huyo
 
JF sjui ina mashoga wengi au watoto wengi au imegeuka kuwa Facebook. Wewe member michango yako yooote hapa JF ni Me leo unadai wewe ni MWANAMKE! Au ni utapeli?
Huenda anageuzwa usichezea watu humu kuna transgenda wengi.
 
JF sjui ina mashoga wengi au watoto wengi au imegeuka kuwa Facebook. Wewe member michango yako yooote hapa JF ni Me leo unadai wewe ni MWANAMKE! Au ni utapeli?
Bora nawe umeona Mkuu

Kuna haja baadaye JF ioneshe na jinsia ya member wake wakati akichangia mada ili kutuondolea huu usumbufu 🙌
 
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya.
Yan ukishika cm yake unaweza zimia anawanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabint wa kaz, yan tabu yup..
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Izo tabia alizianza baada ya kukuoa? maana wanawake huwa mnakosea kwenye kufanya uchaguzi wa wanaume mara nyingi mna-prefer badboyz over nice guyz mkishapigwa matukio ndio mnaanza kulia lia
 
Kuna mambo mawili:

1. Unachosema sio kweli, na kama ni kweli ni hisia, hakuna uhalisia.(kama kweli, ulilazimisha hiyo ndoa)
2. Mwanaume anakipato, na ndicho kilicho kuingiza kwenye hiyo ndoa.
Wanawake wanapenda mwenye pesa, na mwenyepesa anapenda wanawake wengi!
 
Ukimyima na wewe utakuwa unaishije? Si bora ujiondokee mapema ukatafute changamoto mpya huko mbele ya safari?
Sisemi kwamba wangu hachepuki ila heshima iwepo, sio hadi Kwa ndugu na Majirani.
Wacha kumlagai taratibu atabadirika kaza kikombe cha utakaso
 
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya.
Yan ukishika cm yake unaweza zimia anawanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabint wa kaz, yan tabu yup..
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Kuna kitu anakosa toka kwako
 
huyo mstaarabu sana watano tu, mimi kwanza simu haigusi maana akigusa ni kosa la jinai na ukweli ni kwamba mwanaume mwenye afya kamili hawezi kua na mwanamke mmoja hii ni nature ya kidunia,
Kusema kuwa mwanaume alokamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja NI UONGO NA KULETA JUSTIFICATION YA UZINZI NA UHUNI WA WANAUME MABALADHULI NA MAFEDHULI KAMA NINYI.
Kwani huko unakohangaika kuna utofauti gani wa ladha ya uchi na wa mkeo!??
Embu jishikilieni pia jiheshimuni muache ubaladhuli.
 
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umaraya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya.
Yan ukishika cm yake unaweza zimia anawanawake karibia 5 mara aombe picha za dudu... Ukizubaa marafiki zangu anapita nao, mabint wa kaz, yan tabu yup..
Nilichoamua sitaki tena sex na yeye, tutatiana nikiwa natafuta mimba tu nikipata sitaki aniguse tena ninawatoto 2 bàdo 1 tu...akichoka aondoke akaoe uko angalau nipate Aman, sina rafiki, naogopa hata ndugu kukaaa kwangu, sitaki mazoea na majiran maana wakinizoea tu anawalamba...aisee kichwa kinajam
Pole sana
 
Mi nashauri ampe tu au na yeye atafute mtu wapeane maana unamnyima mtu halafu unaiweka tu hasara ni yako we only live once
Katika kosa kubwa mwanamke atafanya ni kushindana na mwanaume kuchepuka.

Mwanamke anaweza kupata maambukizi ya virus wanao sababisha saratani ya kizazi (cervical cancer) kwa sababu ya kujamiana na multiple partners.
Mwanaume akipata hao virus haumwi saratani.
 
Kosa hapo sio umalaya ila kutokukuheshimu na kukuonyesha wazi kwamba yeye ni malaya.
Anyways, wewe unatimizaje haja zako za kimwili sasa..?
 
huyo mstaarabu sana watano tu, mimi kwanza simu haigusi maana akigusa ni kosa la jinai na ukweli ni kwamba mwanaume mwenye afya kamili hawezi kua na mwanamke mmoja hii ni nature ya kidunia,
Acha kujifariji kwa akil ya kizibo cha konyagi....!!!
 
Back
Top Bottom