Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Mtoto wa mama huyo, watoto wa namna hiyo hawaoagi, na wakioa ujue bifu la mama mkwe litawagombanisha.
 
""Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha.""
Nimeelewa apo tu kwingine sitak kuingilia
nmechekaaaa🤣🤣🤣🤣
 
Hili la kumwambia ahame nalifanyia kazi leo
 
labda nkushauri mwenzang.....jarb kumkalisha chini mpange maisha yenu kwanz ukion unavyo jarb kumshauri kaelekei...hapo itabidi uchukue maamuzi mwenyew kama mwanamke...ila kama mama yake kuona amebadilika kwang mm naona sio mbaya since wew ndie mama yake kwa sas na unatakiwa umbadilishe positively
 
Natamani sana kusema neno lolote, lakini nafsi inaniambia ninyamaze....
 
Em nipiyemu namba zako kwanza,naona kuna fursa hapa,mimi najielewa sipo under control ya mama,nipe chance
 
Ukimuacha tupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…