Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Biblia inasema mtu atamwacha baba na mama yake ataambatana na mke wake nao watakuwa mwili mmoja, mtu anayetaka kuunganika naye unaogopa nini kumweleza hisia zako?, mweleze apate kujua unataka nini kwenye huo muunganiko mnaotaka kufanya. Pili mshauri huyo kijana ahame nyumbani akapange hauwezi kuolewa ukakaa ukweni hilo ni kosa, maisha nenda kaanzishe na mwenzako siyo mamamkwe ni kibiblia kabisa.
 
Pole sana mkuu
 
Dah love nmesoma mkasa wako umenisisimua hatari. Sema mi watoto wala sio muhimu nkipata haya nikkosa haya mana tayar mungu alishanjaalia. Ila nimeyachukua mawazo yako nina imani yataniongoza
Good
 
asante dear
 
mzabzab kaka hapo tako linahusikaje ss?
Muhimu ni yeye kukaa na mwenzake na kuongea na kumweleza ukweli, mtuu anayetaka kufunga naye ndoa amfanye kuwa rafiki yake mkubwa washirikishane mambo yako, ila mwenzake kama habadiliki ndiyo achukue hatua
 
Mimi hapo sijaona tatizo la kijana jaribu kuongea nae kuhusu kujitegemea
 
Ninavyompenda huyu binti hadi wadogo zake nasomesha, vijana wa kiume na wanaume tuwatunze wanawake na koo zao, ukipokea buku zao kubali masimamgo
 
Sasa cwthat haya mambo si ungenidokezea hata kwa SMS tu kama kuniambia unahofu? Mangapi tumesolve kwa pamoja? Yaani umeona ni sahihi kabisa kunianika humu kweli jamani? Sawa bwana!
 
Muhimu ni yeye kukaa na mwenzake na kuongea na kumweleza ukweli, mtuu anayetaka kufunga naye ndoa amfanye kuwa rafiki yake mkubwa washirikishane mambo yako, ila mwenzake kama habadiliki ndiyo achukue hatua
nakubaliana na wewe asilimia mia
 
Sasa cwthat haya mambo si ungenidokezea hata kwa SMS tu kama kuniambia unahofu? Mangapi tumesolve kwa pamoja? Yaani umeona ni sahihi kabisa kunianika humu kweli jamani? Sawa bwana!
jamani hebu kuwa huruma na mbavu zangu mweh
 
Hapo kuna shida kwani Jamaa ameshindwa kusimama kama Mwanaume amekua kama kijana, Kumhudumia MAMA ni łazima ila sio kummiliki na kitendo cha yeye kutojitegemea wakati ana kazi ni Dalili za kujishindwa kiakili na kutokua na malengo ya baadae, ukiingie ujiandae kufanya kazi ya ziada kumfundisha ili ajitambue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…