- Thread starter
- #121
Namaanisha watu kibao wanakula tunda bila ndoa, so sio big deal. Hatujaoana kama umesoma vizuriKuna mwenzio mwingine anafanya?
Sasa hapo si mmeshaoana? Au mnafanya zinaa kidogo tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha watu kibao wanakula tunda bila ndoa, so sio big deal. Hatujaoana kama umesoma vizuriKuna mwenzio mwingine anafanya?
Sasa hapo si mmeshaoana? Au mnafanya zinaa kidogo tu?
Kumtunza mama ktu gani ndgu, mimi naongelea mtu kutaka hela for anasa, bia zenyewe nilipeleka katoni akalalamika kwanini sijapeleka boxi zima, we unaona ni sawa? tena kwa binti ambae unajua ndo anapambana na maisha?Na ameanza kulalamika mapema sana, je ataweza kumtunza huyo Mama akiwa mzee? Ikiwa ni pamoja na kumpatia huduma muhimu pale atakapokuwa hawezi kabisa?
new galHabari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
Nakushauri muache maana wenye sifa kama hizo tumejazana tena mama zetu sio wasumbufu kama mkwe wako wa sasa.Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
He should be a man, full stopnew gal
1. Tatizo lako wewe ni kuwa mtoto anamdekeza/kumsikiliza mama yake au ni nini?
2. Je akiondoka hapo kwao mkaenda kupanga, lakini akawa bado anamsikiliza/kumdekeza mama yake utakubali akuwowe au la?
3. Mama yake akiondoka hapo kwao akakuacha wewe na mpenzi wako kutakuwa na shida? Au ni lazima nyinyi muondoke?
4. Wewe una wazazi wako? Je unawadekeza au huwadekezi? huyu jamaa anasemaje?
5.Je huyu kijana akianza pia kumdekeza mama yako au na baba yako kama anavyo mdekeza mama yake sawa sawa kutakuwa na shida? au lazima tu aache kumdekeza mama yake?
Ushauri wangu, kuwa mkweli kwa huyu mpenzi wako mueleze unachotaka haswa, kama unaona wivu sema, kama hujiamini mbele ya mamake sema, hata kama wewe ni mchoyo weka tu wazi. Baada ya hapo mnaweza kuachana kwa amani, akikutaka atakufuata atakuwa anajua anafuata nini.
Kuwa a man ni kumkataa mama yake?He should be a man, full stop
una nn Fuentte 🤣 🤣 🤣 🤣Nakushauri muache maana wenye sifa kama hizo tumejazana tena mama zetu sio wasumbufu kama mkwe wako wa sasa.
Mungu anipe nini fursa inajileta soon.
Sio kumkataa bali anatakiwa aweze kujisimamia, sikatai yeye kumsikiliza au kumhudumia mama. Ila kwa mwendo anaoenda hatokaa afanikiwe. Haiwezekani unakosa hela ya kumlipia mwanao ada, kisa mama anahitaji hzo hela kwa matumizi binafsi yasiyo na tijaKuwa a man ni kumkataa mama yake?
Nimepata tumaini jipya baada ya hili bandikouna nn Fuentte 🤣 🤣 🤣 🤣
Dah Fuentte unanifundisha niwe natumia fake ehNimepata tumaini jipya baada ya hili bandiko
Kumbe bado uko available?
kosa sio jamaa kosa liko kwa mama kama jamaa mna elewana naomba kaa chini jaribu kuongea na na muelezee juu ya mama yake mzazi naona inaweza saidi zaidi kuliko kuwa na mawazo na maumivuuu....Habari wadau, ama kweli yakikufika huna namna utazungumza tu. Mwenzenu yamenifika shingoni na sijui kama nikichukua maamuzi ya kumuacha nitakua nakosea au lah.
Nikiri katika mahusiano yote niliyopitia sijawahi kuwa na mwanaume anayenifanya nijisikie furaha kama huyu kaka.Uhusiano wetu una mwaka sasa. Ni mkaka anayepambana sana, anajali, anahudumia pale anapoweza na kule 6*6 ndo usiseme. Hamna kitu ananificha. In short he is a man in every woman's dream mpaka nikawa naogopa kumpoteza bwana.
Mbembe ikaja baada ya kunitambulisha kwa mama yake mzazi (Eh Mungu). Mama alinipokea vizuri tu lakini siku ya kwanza tu akaniambia ukija niletee bia, mtoto wa kike nikapeleka. Baada ya hapo kila nikiona simu ya yule mama yeye ni kutaka hela tu kwangu. Nikajiuliza ni kisa kaniona na gari au ni nini?
On top of that mama yake hatak apange, kashikilia akae nyumbani eti asiharibu hela kwa kulipa kodi. Mshahara wake wote unatumika kwenye matumizi ya nyumbani, kama anabakiza ni kiasi kdg sana. Sasa kutokana na ukaribu huo kati yao naogopa hata kumshauri asije ona nawaingilia maisha yao.
Napata hofu kuwa ntakua adui kwa yule mama, maana akibadilika kimatumizi ataona mimi ndo kisababishi. Jamaa anapanga mipango ya ndoa lakini naogopa sana kuingia kwenye ile familia. Maana hata akiongea nae kwenye simu akiomba hela akimwambia hana anamwambia ahakikishe anaipata anampa na kijana anafanya hivyo.
Je, nikimuacha huyu kijana mapema nitakuwa nakosea?
mimi mwenyewe inanipa wakati mgumu...Mkuu hiyo Avator yako inanyegesha mno!
Tusimuhukumu Mama tu! Hatujui kama alihangaika vipi kumfikisha kijana wake hapo alipo!
hujawa kukutwa na vitimbi labdaMama hawezi kuwa kero please!
Hapana,ikitokea hoja za kumuacha zikashinda means kuna nafasi itatakiwa kuzibwa.Dah Fuentte unanifundisha niwe natumia fake eh
Na wewe dada ako aje aniletee ngebeHapana,ikitokea hoja za kumuacha zikashinda means kuna nafasi itatakiwa kuzibwa.
Na hiyo ndio nashinda naiombea itokee
Yule ni mdogo sana,utammudu kirahisi.Na wewe dada ako aje aniletee ngebe
🤣 🤣 🤣 🤣 basi tuombe kheriYule ni mdogo sana,utammudu kirahisi.
Napokea mana nipo juu ya maweUshauri wa PM unapokelewa pia?