Je, nikimuacha nitakuwa nakosea?

Kuna mwenzio mwingine anafanya?
Sasa hapo si mmeshaoana? Au mnafanya zinaa kidogo tu?
Namaanisha watu kibao wanakula tunda bila ndoa, so sio big deal. Hatujaoana kama umesoma vizuri
 
Na ameanza kulalamika mapema sana, je ataweza kumtunza huyo Mama akiwa mzee? Ikiwa ni pamoja na kumpatia huduma muhimu pale atakapokuwa hawezi kabisa?
Kumtunza mama ktu gani ndgu, mimi naongelea mtu kutaka hela for anasa, bia zenyewe nilipeleka katoni akalalamika kwanini sijapeleka boxi zima, we unaona ni sawa? tena kwa binti ambae unajua ndo anapambana na maisha?
 
dada unatakiwa upate mtu sahihi wakukushauri nahitaji kuongea na ww kwa kirefu naimani ntakuwa naushauri utakao kusaidia please dm me
 
new gal

1. Tatizo lako wewe ni kuwa mtoto anamdekeza/kumsikiliza mama yake au ni nini?

2. Je akiondoka hapo kwao mkaenda kupanga, lakini akawa bado anamsikiliza/kumdekeza mama yake utakubali akuwowe au la?

3. Mama yake akiondoka hapo kwao akakuacha wewe na mpenzi wako kutakuwa na shida? Au ni lazima nyinyi muondoke?

4. Wewe una wazazi wako? Je unawadekeza au huwadekezi? huyu jamaa anasemaje?

5.Je huyu kijana akianza pia kumdekeza mama yako au na baba yako kama anavyo mdekeza mama yake sawa sawa kutakuwa na shida? au lazima tu aache kumdekeza mama yake?


Ushauri wangu, kuwa mkweli kwa huyu mpenzi wako mueleze unachotaka haswa, kama unaona wivu sema, kama hujiamini mbele ya mamake sema, hata kama wewe ni mchoyo weka tu wazi. Baada ya hapo mnaweza kuachana kwa amani, akikutaka atakufuata atakuwa anajua anafuata nini.

Ukijibu maswali hayo, yanaweza kufanya nitoe ushauri specific kwa case yako. Ushauri wa hapo juu ni wa jumla jumla.
 
Nakushauri muache maana wenye sifa kama hizo tumejazana tena mama zetu sio wasumbufu kama mkwe wako wa sasa.
Mungu anipe nini fursa inajileta soon.
 
He should be a man, full stop
 
Nakushauri muache maana wenye sifa kama hizo tumejazana tena mama zetu sio wasumbufu kama mkwe wako wa sasa.
Mungu anipe nini fursa inajileta soon.
una nn Fuentte 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kuwa a man ni kumkataa mama yake?
Sio kumkataa bali anatakiwa aweze kujisimamia, sikatai yeye kumsikiliza au kumhudumia mama. Ila kwa mwendo anaoenda hatokaa afanikiwe. Haiwezekani unakosa hela ya kumlipia mwanao ada, kisa mama anahitaji hzo hela kwa matumizi binafsi yasiyo na tija
 
kosa sio jamaa kosa liko kwa mama kama jamaa mna elewana naomba kaa chini jaribu kuongea na na muelezee juu ya mama yake mzazi naona inaweza saidi zaidi kuliko kuwa na mawazo na maumivuuu....

ka story yako tu mimi nimeona mamam ni kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…