kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Unaona sasa we ulipanic bure tu hyo taa ikiwaka haiwezi kuzuia gari kuto kutembea taa ya njano yeyote kwenye dashbord hapo ikiwaka maanake inakutahadharisha tu tatizo kwenye jambo fulani maana ake ni kwamba unaweza ukaendelea kulitumia hilo gari lakini hakikisha unamuona specialist ili akueleze tatizo ni nn au imewaka kwa sababu gani, mfano hyo taa inaweza kuwaka hata kama mfuniko wa petroli hujafunga vzr, au umetoka carwash kuna vimajiji viliingia kwenye system ya umeme, lkn pia inaweza kuwaka kama switch ya fan yanautomatic kama imejam so upozaji wa injini unakuwa hafifu, lakin inaweza kuwaka pia kama pepar element ya aircleaner ni chafu kupitiliza yan kifupi sababu ni nyingi sanaMkuu, iliwaka taa kama ya chano hivi. Ila fundi alivyobadirisha Oil na Ku-flush engine mambo yakawa mukide.
![]()
Kwa ushahuri we nicheki tu me ni cyo fundi ila nina ka grade two cha veta cha dizel injini mkuu.