Je nimeharibu gari kwa kuliendesha huku taa ya oil ikiwaka?

Mkuu, iliwaka taa kama ya chano hivi. Ila fundi alivyobadirisha Oil na Ku-flush engine mambo yakawa mukide.

Unaona sasa we ulipanic bure tu hyo taa ikiwaka haiwezi kuzuia gari kuto kutembea taa ya njano yeyote kwenye dashbord hapo ikiwaka maanake inakutahadharisha tu tatizo kwenye jambo fulani maana ake ni kwamba unaweza ukaendelea kulitumia hilo gari lakini hakikisha unamuona specialist ili akueleze tatizo ni nn au imewaka kwa sababu gani, mfano hyo taa inaweza kuwaka hata kama mfuniko wa petroli hujafunga vzr, au umetoka carwash kuna vimajiji viliingia kwenye system ya umeme, lkn pia inaweza kuwaka kama switch ya fan yanautomatic kama imejam so upozaji wa injini unakuwa hafifu, lakin inaweza kuwaka pia kama pepar element ya aircleaner ni chafu kupitiliza yan kifupi sababu ni nyingi sana
Kwa ushahuri we nicheki tu me ni cyo fundi ila nina ka grade two cha veta cha dizel injini mkuu.
 
Mkuu, nitakutafuta aka ka engine ukaangalie, 1NZ FE VVTi
 
Mfano Geabox ya automatic ya Nissan x _trail inauzwa lita 40,000hadi 45,000 ukiambiwa unasema bei kubwa weka ya kawaida fundi anakuwekea asiejua baada muda Geabox inakufa tafadhari pata ushauri sio wote wanaoweka oil na kumwaga wanajua
 
Mkuu ni pm hayo makampuni yenye gari mbovu maana nampango wa kuagiza soon
 
UNAPO BADIRISHA OIL MAKE SURE PIA UNA REPLACE OIL FILTER PIA KUTUMIA OIL YENYE UBORA
ZIPO SABABU NYING ZINAZOWEZA SABABISHA TAA YA OIL KUWAKA
{1}UCHAFU KTK OIL WAYS,FILTER
kutoka na matumiz yasiyo bora ya oil
{2}short
 
Mfano Geabox ya automatic ya Nissan x _trail inauzwa lita 40,000hadi 45,000 ukiambiwa unasema bei kubwa weka ya kawaida fundi anakuwekea asiejua baada muda Geabox inakufa tafadhari pata ushauri sio wote wanaoweka oil na kumwaga wanajua
Mkuu hiyo oil ni namba ngap na kampun gani
 
Kampuni yenye ofisi pale naniliu.....

Acha nisepe
 
Umenisaidia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…