mmh uko sahihi kabisa na fikira zako.mi nilifikiri ni wanawake tu ndo wanaolalamika kuhusu simu..
eti hajanipigia..
mara sms anachelewa kujibu
mara nikimpigia anachelewa kupokea....
babu zetu na bibi zetu walifaidi mno kuishi bila simu...
heading inaonyesha umejizalisha mwenyeweKAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!
Haya majibu yanaumiza jamani! ahhh!Ukisusa wengine wala, shauri yako.
Hayo ndo niloyakataa! jifunze kuheshimu mawazo ya wenzako!heading inaonyesha umejizalisha mwenyewe
Mshikaji hauna kifua kipana wewe! Kuzima simu siku moja tuu, unaumwa, je akizima mwezi si ndo utakuwa marehemu kabisa wewe?
Anyway, mchukue mka do, ukiona maufundi yamezidi uje alikuwa na mmakonde!
i also like ukinionea wivu,that proves that your in love
Kwa post yako, UWEZO WA KUUCHUNA HUNA HATA CHEMBE.Ni ni Binti ambaye niko naye muda kiasi,lakini toka jana simuelewielewi! Kapotea bila kunipigia wala kunibeep kutwa nzima! kwa madai anaenda ktk sendoff! Cha ajabu kaja kufunguka saa moja na nusu asubuhi na kijimeseji akiwa ananiuliza"Uko wapi dear"! mi sijamjibu wala nini! anapiga cm sana sijapokea wala nini! Ki ukweli nimekasirika sana! Vipi wadau niongee nae au niuchune? N.B, KAMA HUNA CHA KUCHANGIA KATA MBUGA,USINIDHALILISHE!
Piga tu,mwanaume hana tabia za kuuchuna,huo ni ukike,madem wachune kimnya,na wewe pia,well usije kaa vibaya ukasikia ilikuwa send off yake..
Ashaliwa huyo.........
ushampigia tayari?
kwakwambia send off iliendaje?