Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

Je Nimpigie au na mimi niuchune!?

wengine ndio style yao ya kuua soo hiyo, so stay tuned with your ears on the ground..
 
Nyoooo! Ugoni.
Jk nukuu ya leo "watanganyika ni Malofa".
 
Mapenzi ya shule ya Msingi hayo. Kaa kimya uone kama wenzio hawajachukua jumla.
 
hiii stail nimeipenda ningekuwa mim ningefanya hivi,halafu kitu kingine ningempigia nikamsikiliza maelezo yake kwanza kabla ya yote,halafu ndio uyachuje then ushike decision,sasa hujamsikiliza anasema nin wewe umekasilika hapo umekosea mkuu
 
mpigie ili ujue ilikuwaje mpaka akawa kimya muda wote na kukutafuta asubuhi mana kunyamaza kimya siyo solution ya tatizo.
 
Back
Top Bottom