Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Utamrudia ex wako au Bora kufa?Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
KipiKua makini asije na kifurushi Cha grade ya taifa.
Kipi
UmemeKipi
Hizi post tunazotumaga huku tujue pia kuna archives jaman. Nimecheka kama mazuriMrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759
Maneno waachie walimwengu fata moyo wako mkuuKuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Kidudu 😂Mrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759
Ahahahah😂😂😂😂Mrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759