Je nimrudie mpenzi wangu niliyeachana naye miaka mitano iliyopita?

Je nimrudie mpenzi wangu niliyeachana naye miaka mitano iliyopita?

Nyie mnataka kupasha kiporo...banduaneni tu, kazi shila
 
Kama mko salama rudianeni, pia mtumie hizi mvua zinazonyesha kwa kuotesha mahindi
 
Kila mtu anakwambia fuata moyo,
usidanganyike! Moyo utakuingiza mkenge
Fuata vitu vingine kama bandama n.k
 
Inategemea chanzo cha kuachana ilikuwa nini
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
 
Sema kabla ya yote hakikisha mnapimana maradhi yote kuanzia HIV hadi GONO sugu.

Tatizo ni kuwa haitakuja kuwa kama zamani, pia uwezekano wa compatibility ya kinu na mtwangio kuendana kama zamani ni mdogo sana.
Kwa wavuvi camp watrja wamekalia viti sana?
 
Achana na vitu used, hakuna kitu kitamu kama penzi jipya. Hapo kitachowatokea mtajikuta mnaanzia pale mlipoishia hamtatoboa
 
Back
Top Bottom