Je nimrudie mpenzi wangu niliyeachana naye miaka mitano iliyopita?

Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Umsimrudie

Fukuza mwizi huyo?
 
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Kwa hio wewe mwenyewe hujielewi eti?

NB hamna demu hapa Ni mzigo na utakuwa mbovu haswa
 
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Mliachana au alikuacha?

Kanuni ya Maisha ni moja!
Usimrudie mpenzi aliyekuacha kwani atakuacha tena!
Amerudi kwa sababu amekosa pakwenda na akipata pakwenda atakuacha tena!
 
Wewe ungekua ndo huyo mwanaume na unaomba ushauri ningekushauri kuwa mwanamke uliemuacha huwa harudiwi.
Ila kwakua we ndo mwanamke hapo watakupa ushauri wanawake wenzako
 
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Kwani hayo mlioachania yameondoka?
 
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
jibu liko moyoni mwako
 
Dada cha kwanza acha kuwaza sana mapenzi au ndoa, pia punguza desperation maana itakupeleka pabaya.

Timeline yako inaonesha muda mwingi upo kwenye nyuzi za mapenzi..

Screenshot_2023-12-08-07-27-20-965_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Screenshot_2023-12-08-07-27-31-039_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Screenshot_2023-12-08-07-27-44-058_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Nelly Karudia na Ashanti ,Waliachana miaka 10 iliyopita.
 
Sema na moyo wako sweetheart
wewe mimi nina mpenzi wa miaka kumi iliyopita na tunarudiana kila tukiachana miaka nenda rudi hata anikute na namahusiano mengine nitamrudia tu, mimi nilimwelewa mno na yeye anasema amenielewa mno..maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom