Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Utamrudia ex wako au Bora kufa?Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
KipiKua makini asije na kifurushi Cha grade ya taifa.
Kipi
UmemeKipi
Hizi post tunazotumaga huku tujue pia kuna archives jaman. Nimecheka kama mazuriMrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759
Maneno waachie walimwengu fata moyo wako mkuuKuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Kidudu ๐Mrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759
Ahahahah๐๐๐๐Mrudie tu maana yule mwingine ana kidudu hakikuridhishi.View attachment 2835759