Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
UmsimrudieKuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Hujamalizia ..tuanzie na hapoUna umri gani?
Kwa hio wewe mwenyewe hujielewi eti?Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Mliachana au alikuacha?Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Kwani hayo mlioachania yameondoka?Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
jibu liko moyoni mwakoKuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
Atumie akili aache moyo usukume damu tu.[emoji4][emoji4]Sema na moyo wako sweetheart
Nelly Karudia na Ashanti ,Waliachana miaka 10 iliyopita.Kuna mkaka tulikuwa kwenye mahusiano ila tuliachana miaka 5 imepita sasa amenitafuta turudiane. Na mimi nipo single. Kumrudia mpenz mlieachana kuna shida yoyote. Maana kuna msemo eti ex harudiwi.
wewe mimi nina mpenzi wa miaka kumi iliyopita na tunarudiana kila tukiachana miaka nenda rudi hata anikute na namahusiano mengine nitamrudia tu, mimi nilimwelewa mno na yeye anasema amenielewa mno..maisha yanaendaSema na moyo wako sweetheart
Cha msingi uzima tu, mengine yatajiendesha yenyewewewe mimi nina mpenzi wa miaka kumi iliyopita na tunarudiana kila tukiachana miaka nenda rudi hata anikute na namahusiano mengine nitamrudia tu, mimi nilimwelewa mno na yeye anasema amenielewa mno..maisha yanaenda
Co-asking [emoji848]Una umri gani?
πππMapenzi bhana yan hapa anatusabai tu hakuna lolote nyie pelekeaneni moto tu
π€£π€£π€£watoto wengine bn
HahahahahhhHujamalizia ..tuanzie na hapo