Amazing Legal Officer
Senior Member
- Apr 4, 2024
- 143
- 172
Namuogopa baunsaUnaogopa nini tena? Mi siogopi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namuogopa baunsaUnaogopa nini tena? Mi siogopi
Usiogope uko safe mi ndo mbabe hapa jfNamuogopa baunsa
😀😀😀Haya ndugu.Usiogope uko safe mi ndo mbabe hapa jf
Hapa ndio naamini kuna watu wana tamaa ya mali kweli kweli.Nyumba ilishauzwa miaka 9 imepita. Mimi nilikuwa nadhani nina haki ya kumiliki hiyo nyumba maana mimi ni mtoto wa kwanza
Huu ni ukweli halisi si kuchangamsha jukwaa, Bali mtoa mada amevaa uhusika wa mdai. Ukweli ni kwamba mtoa mada NI mdaiwa Bali alitaka apate Naomi ya jamii kuhusu huyo mwehu anaedai Mali za urithi kuwa ni Mali yake.Nahisi huyu alikuwa anachangamsha jukwaa (pamoja na kwamba mada ni ya mda).
Kama kweli haya yaliyoandikwa yapo basi kama jamii tuna kazi kubwa sana kuyafikia maendeleo, ya mmoja mmoja na taifa kwa ujumla.
Ukweli hakufoji sahihi na mahakama ilitenda hakiSo ni kweli jamaa alifoji sahihi?
Huna akiliNyumba ilishauzwa miaka 9 imepita. Mimi nilikuwa nadhani nina haki ya kumiliki hiyo nyumba maana mimi ni mtoto wa kwanza.
Ww una mwili mkubwa lkn huna akili punguani kabisaaa kma ulivojiitaNaomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.
Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.
Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.
Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
Kichwani uko timamu sawa sawa kweli?Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.

Kumbe wwe ni tapeli!!Najipa matumaini ya kushinda, kwasababu,
Kwanza, msimamizi anaishi Mikoani nikichukua summons Nimejenga mawasiliano na dada mjumbe mmoja wa serikali ya Mtaa anaoishi namtumia mjumbe anamvizia zikibaki siku 2 au 1 anampelekea, Kwa iyo inamfanya akose kuja mahakamani Kwa wakati.
Pili, Nimeshamchosha namburuza Kila siku mahakamani nauli na hata muda wa kufanya shughuli za uzalishaji Mali Hana, katepeta mwisho atashindwa kuja, na mahakama itahukumu upande mmoja, Kwa iyo nitashinda
Wewe ni mshari. Na pia ni muongo kwasababu kesi zote hizo naona ni kesi moja tu ulifungua ya ukweli.Naomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.
Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.
Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.
Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
Mtoto wa kwanza asiye na akili. Ndio maana hata haukuwekwa kama msimamizi wa mali za wazazi wakoNyumba ilishauzwa miaka 9 imepita. Mimi nilikuwa nadhani nina haki ya kumiliki hiyo nyumba maana mimi ni mtoto wa kwanza.
Tafuta hela ujenge Nyumba Yako pumbavu toka kwenye Nyumba ya watuNaomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.
Marehemu aliacha nyumba moja ambayo sisi warithi wote 6 tulikuwa tunaishi humo kasoro tu msimamizi wa mirathi alikuwa anaishi mbali, lakini ugomvi wa mara Kwa mara kati yetu na kupelekana Polisi ulikuwa hauishi na hatimaye mimi nilimwita msimamizi wa mirathi aje, alipokuja tulikaa kikao kama ndugu, katika kikao hicho tulikuwa 4 tukakubaliana suluhisho ni kuuza nyumba Ili Kila mmoja Apate haki yake aendelee na maisha yake.
Na wale 2 walipojulishwa wakaafiki nyumba kuuzwa, Mimi ni mtoto wa kiume nilipofikiri mara ya pili maamuzi tuliyofikia ya kuuza nyumba nikaamua kugeuka na kukataa. Msimamizi wa mirathi akaamua kwenda mahakamani na warithi wote tuliitwa, wenzangu 5 waliafiki kuuzwa nyumba ila Mimi pekee nilikataa na kutamka mahakamani kuwa hata wakiuza sitopokea hizo pesa. Mahakama ikakubaliana na warithi hao nyumba iuzwe.
Mimi nikazuia kuuzwa Kwa nyumba Kwani nilifungua kesi mahakamani kudai nyumba ni Mali yangu, kesi nikashindwa. Baadae nikafungua kesi nyingine kuwa Mirathi ni batili, nayo nikashindwa, na nikapewa muda wa kukata rufaa, sikukata rufaa ndani ya muda niliopewa.
Kwa kuwa sikukata rufaa na hakukuwa na kesi mahakamani, Msimamizi aliendelea na Zoezi akatangaza kuuzwa Kwa nyumba na ikauzwa kupitia Kwa mwanasheria mwaka 2014 nilikataa mgawo wangu na nikagomea kutoka katika nyumba, Kwa kuwa Mimi ni bouncer walikuwa wananiogopa kunigusa, hatimae msimamizi 2015 akarudi mahakamani kufunga usimamizi wa mirathi na tuliitwa wote na Mimi nilikataa pesa wananiona mimi kama punguani.
Baada ya nyumba kuuzwa Nikarudi mahakamani kuomba kukata rufaa nje ya muda kuhusu kesi yangu ya Mirathi ni batili, mahakama ya wilaya nikashindwa, nikakata rufaa mahakama kuu Nako nikashindwa Mwaka 2020. Baada ya kushindwa mahakama kuu 2020 hiyo hiyo nikaenda Polisi kulalamika kuwa katika kile kikao cha mirathi 2006 mimi sikuwepo na wameiga sahihi yangu. Polisi walifanya uchunguzi wao na wakamkamata msimamizi na kumfungulia kesi ya forgery.
Lakini pia kesi imekwisha hivi majuzi na nimeshindwa. Na sasa nataka KUMTENGUA msimamizi wa mirathi, je imekaaje hii? Je, nitatoboa?
We jingaNaomba msaada kwenu Wabobezi wa Sheria, tulifungua mirathi 2006 na kumchagua msimamizi wa mirathi.