FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Mgeni wa nini?we inaonekana mgeni eti?
Unajua maana ya Mgao?Sijui unaongea Nini au unataka kumfurahisha Nani. Umeme hata muda huu umekatika wewe unasema historia?
Magufuli anastahili pongezi nyingi kwenye sekta ya umeme. Fikiria unaenda lodge na mtoto, na umeme unakuwepo kuanzia asubuhi hadi jioniSijui unaongea Nini au unataka kumfurahisha Nani. Umeme hata muda huu umekatika wewe unasema historia?
Hajui maana ya mgao nadhani, kwake yeye mgao ni pale umeme unapokatika mtaani kwaoMagufuli anastahili pongezi nyingi kwenye sekta ya umeme. Fikiria unaenda lodge na mtoto, na umeme unakuwepo kuanzia asubuhi hadi jioni
hakuwepo bongo kwa kipindi kirefuMgeni wa nini?
Sijui kama amewahi kumiliki hata kibanda cha nyasi,sasa mgao wa umeme ataujuaje? Kula kulala huyo.we inaonekana mgeni eti?
Una uhakika na hizo allegations ?Unajiuliza swali wakati unajua kabisa kuna waratibu wa ule mpango hawapo uraiani muda huu, yule muhindi wa IPTL na yule dingi si wako selo sahivi!
Wamekula nondo mpaka wameisha kabisa...ila nafuu yetu huku moto unawaka full time na ukizima basi ni hitilafu za asili tu sio za kutengenezwa.
Kwani kuna haja ya ku prove hilo?Una uhakika na hizo allegations ?
Safi kabisa MkuuUmeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.