Je, nini hasa kimefanya mgao wa umeme kuwa historia nchini Tanzania?

Ile ilikuwa Hujuma mkuu haswa ya Hizi IPPL ili wafanye biashara ya kuwauzia tanesco umeme na biashara ya generators pia ifanyike ila baada ya mzee kuingia aliamua ku deal nao perpindicular ndio mana unaona saivi mgao ni historia na wanaopata blackout ndogondogo wako well informed na zinatokea kwa sababu ya swala la planned maintenance
Umenikumbusha huo msamiati "perpendicularly"😁
 
Unajiuliza swali wakati unajua kabisa kuna waratibu wa ule mpango hawapo uraiani muda huu, yule muhindi wa IPTL na yule dingi si wako selo sahivi!

Wamekula nondo mpaka wameisha kabisa...ila nafuu yetu huku moto unawaka full time na ukizima basi ni hitilafu za asili tu sio za kutengenezwa.
Kumbe hao ndio walikuwa wanahonga mabwawa yafunguliwe, duuh! Ila nadhani miradi ya ufuaji umeme Kinyerezi 1 - 4 nayo imechangia kukomesha tatizo la mgao wa umeme
 
Wakati Ule Biashara Ya Generators Ilikuwa Ya Wakubwa . Kulikuwa Na Kitengo Kazi Yake Kuachia Maji Yasiingie Kwenye Mashine Za Kufua Umeme!🙄😎

Biashara Zao Zinakwenda . Awamu Ya Tano Ikatoa Onyo, Ikipatikana Zamu Umeme Unakatika Sababu Huna, Ujue Wazi Wazi Huna Kazi
Ofcourse nakumbuka kipindi kile mwamba JPM alipoapishwa na kwenda kutoa hotuba yake ya kwanza pale bungeni alizungumzia utumbuaji majipu, na jipu la kwanza alilolitaja kwenye kikao kile nakumbuka kabisa ilikuwa ni hizi hujuma za kufungulia mabwawa kwa makusudi
 
Umeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Nadhani hii itakuwa nguzo muhimu sana katika kuchanua kwa viwanda vya ndani, maana umeme unapokuwa mwingi na wa uhakika automatically bei inapaswa kushuka na kuwa nafuu kwa viwanda hivyo kuweza kupambana angalau tu katika soko la ndani, tofauti na sasa ambapo bidhaa za ndani zinapigwa konockout na matakataka feki toka China
 
Umeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Achana na mabwawa yako hayo, ufisadi ndo ilikuwa sababu
 
So kukatika umeme mara kwa mara kwa series fulani si mgao?
Na ulikakatika mtaa huu muda fulani,ukirudi mtaa mwingine sio mgao??
Hadi watoe taarifa?
 
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.

Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Mgao wa umeme ulianza enzi za Mwinyi ukaendelea mpaka alipoupiga stop kamanda JPM...
 
Kumbe hao ndio walikuwa wanahonga mabwawa yafunguliwe, duuh! Ila nadhani miradi ya ufuaji umeme Kinyerezi 1 - 4 nayo imechangia kukomesha tatizo la mgao wa umeme
Yeah ki miundo mbinu tutafika mbali sana kama nchi baada ya miaka 10 ya Magu!
 
Sema Mgao wa umeme umepungua umebaki kwa maeneo machache sana...hili Magu anastahili sifa kazi kubwa kwa sasa umeme sio ishu ajitahidi ashushe na bei.
 
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.

Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Ulifikiria zile pushapu za uchaguzi zilikuwa zinamaanisha ustadi katika tendo la ndoa au????
 
Umeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Kwanini 2027 tutafute tena namna ya kuongeza umeme?
 
Back
Top Bottom