Umenikumbusha huo msamiati "perpendicularly"😁Ile ilikuwa Hujuma mkuu haswa ya Hizi IPPL ili wafanye biashara ya kuwauzia tanesco umeme na biashara ya generators pia ifanyike ila baada ya mzee kuingia aliamua ku deal nao perpindicular ndio mana unaona saivi mgao ni historia na wanaopata blackout ndogondogo wako well informed na zinatokea kwa sababu ya swala la planned maintenance
Kumbe hao ndio walikuwa wanahonga mabwawa yafunguliwe, duuh! Ila nadhani miradi ya ufuaji umeme Kinyerezi 1 - 4 nayo imechangia kukomesha tatizo la mgao wa umemeUnajiuliza swali wakati unajua kabisa kuna waratibu wa ule mpango hawapo uraiani muda huu, yule muhindi wa IPTL na yule dingi si wako selo sahivi!
Wamekula nondo mpaka wameisha kabisa...ila nafuu yetu huku moto unawaka full time na ukizima basi ni hitilafu za asili tu sio za kutengenezwa.
Ofcourse nakumbuka kipindi kile mwamba JPM alipoapishwa na kwenda kutoa hotuba yake ya kwanza pale bungeni alizungumzia utumbuaji majipu, na jipu la kwanza alilolitaja kwenye kikao kile nakumbuka kabisa ilikuwa ni hizi hujuma za kufungulia mabwawa kwa makusudiWakati Ule Biashara Ya Generators Ilikuwa Ya Wakubwa . Kulikuwa Na Kitengo Kazi Yake Kuachia Maji Yasiingie Kwenye Mashine Za Kufua Umeme!🙄😎
Biashara Zao Zinakwenda . Awamu Ya Tano Ikatoa Onyo, Ikipatikana Zamu Umeme Unakatika Sababu Huna, Ujue Wazi Wazi Huna Kazi
Nadhani hii itakuwa nguzo muhimu sana katika kuchanua kwa viwanda vya ndani, maana umeme unapokuwa mwingi na wa uhakika automatically bei inapaswa kushuka na kuwa nafuu kwa viwanda hivyo kuweza kupambana angalau tu katika soko la ndani, tofauti na sasa ambapo bidhaa za ndani zinapigwa konockout na matakataka feki toka ChinaUmeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Nashangaa Lowassa hatajwi tena 😂😂😂Mgao wa umeme was created na wajanja wachache.
Achana na mabwawa yako hayo, ufisadi ndo ilikuwa sababuUmeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.
Tunaongelea ugawaji wa umeme kutokana na upungufu, sio emergency blackouts zinazoletwa na majanga au uchakavu wa miundombinuHata mvua ikinyesha siku hzi mara nying upo wamejitahid sana
Magufuli anastahili pongezi nyingi kwenye sekta ya umeme. Fikiria unaenda lodge na mtoto, na umeme unakuwepo kuanzia asubuhi hadi jioni
Kipindi cha joto huwa hapakaliki bila AC, si unajua tena ile mikiki, na Runinga huwa inahusika sanaSasa lodge umeme wa nini
Anajitoa ufahamu!Sijui unaongea Nini au unataka kumfurahisha Nani. Umeme hata muda huu umekatika wewe unasema historia?
Kipindi cha joto huwa hapakaliki bila AC, si unajua tena ile mikiki, na Runinga huwa inahusika sana
Mgao wa umeme ulianza enzi za Mwinyi ukaendelea mpaka alipoupiga stop kamanda JPM...Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.
Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Yeah ki miundo mbinu tutafika mbali sana kama nchi baada ya miaka 10 ya Magu!Kumbe hao ndio walikuwa wanahonga mabwawa yafunguliwe, duuh! Ila nadhani miradi ya ufuaji umeme Kinyerezi 1 - 4 nayo imechangia kukomesha tatizo la mgao wa umeme
Ulifikiria zile pushapu za uchaguzi zilikuwa zinamaanisha ustadi katika tendo la ndoa au????Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.
Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Kwanini 2027 tutafute tena namna ya kuongeza umeme?Umeme miaka ya nyuma ulikuwa unategemea mabwawa ya Mtera, Kidatu, Kihansi na Nyumba ya Mungu peke yake. Ugunduzi wa gesi wakati wa Mkapa na ujenzi wa mitambo ya kuchakata gesi wakati wa Kikwete umefanya Tz isitegemee tena mvua kuzalisha umeme wake. Sasa tunazalisha umeme mwingi kuliko tunavyohitaji angalau kwa 300MW zaidi. Pia mtandao wa usambazaji umeme mikoani na pia katika miji umeboreshwa sana kipindi cha Kikwete na Magufuli. Siku zijazo baada ya kukamilika kwa mradi wa Stiegler tutakuwa na ziada kubwa ya umeme hasa kuanzia mwaka 2023 kwa kipindi fulani tutatafuta tumwuuzie nani umeme, lakini kuanzia 2027 tunaweza tukaanza tena kutafuta namna ya kuongeza uzalishaji wa umeme.