Umeme bado haujawa that much stable lakini ni 1000 times better. Kama huoni pengine umri unakubana maana mpaka watoto wa primary wana iPads.Sijui unaongea Nini au unataka kumfurahisha Nani. Umeme hata muda huu umekatika wewe unasema historia?
TrueKiukweli kuna mambo ukiyafikiria unaona ni kama kipindi cha mkwere nchi ilienda miaka 10 bila rais
Inatakiwa iwe kiasi gani?Ingawa tuna uhakika wa kupata umeme bila kukatika kwa at least 85% but gharama ya umeme ni kubwa sanaaa sanaaaaaa,, gharama ikipungua,, Hakika tutajivunia UMEME Tz..
Hahahah, amemaanisha ni adhabu kwa jinsia ya Me😂😂😂Kama hicho unachozungumzia kuwafanyia unahisi ni adhabu basi wanawake wasingeolewa na wangekuwa wanatukimbia mabarabarani...
Hali ilikuwa mbaya sana kwa kweli, improvement ni kubwa sana!!Umeme bado haujawa that much stable lakini ni 1000 times better. Kama huoni pengine umri unakubana maana mpaka watoto wa primary wana iPads.
Kukupa picha tu, ulikuwa unapiga pasi ngui za wiki nzima ili angalau umeme ukipotea uendelee na kazi. Kifupi Hali ilikuwa mbaya
nadhani tusubiri kukamilika kwa mradi wa umeme Rufiji, lile bwawa linaweza kuwa mwatobaini wa bei kubwa ya umemeIngawa tuna uhakika wa kupata umeme bila kukatika kwa at least 85% but gharama ya umeme ni kubwa sanaaa sanaaaaaa,, gharama ikipungua,, Hakika tutajivunia UMEME Tz..
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.
Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Matumizi ya umeme yataongezeka sana kutokana na ongezeko la idadi ya watu, na ukuaji wa viwanda. Pengine hadi 2030 tutahitaji 7000MW.Kwanini 2027 tutafute tena namna ya kuongeza umeme?
ProbablyMatumizi ya umeme yataongezeka sana kutokana na ongezeko la idadi ya watu, na ukuaji wa viwanda. Pengine hadi 2030 tutahitaji 7000MW.
Kumbe kuna wakati lazima maneno ya yule Kanali wa jeshi kwenye sakata la kupotea kifu yanatimia.Unajiuliza swali wakati unajua kabisa kuna waratibu wa ule mpango hawapo uraiani muda huu, yule muhindi wa IPTL na yule dingi si wako selo sahivi!
Wamekula nondo mpaka wameisha kabisa...ila nafuu yetu huku moto unawaka full time na ukizima basi ni hitilafu za asili tu sio za kutengenezwa.
Bado nakumbuka machungu makali tuliyopitia Watanzania mnamo mwaka 2006 enzi za mkwere wakati taifa lilipopitia kipindi kigumu cha mgao wa umeme kuwahi kushuhudiwa katika historia.
Je, nini hasa kimefanyika kukomesha mgao? Au wale waliokuwa wakihongwa kufungulia mabwawa wamestaafu au ni nini? Whats going on?!
Halafu unakuta kasheshe lote kuiweka nchi gizani master mind walikuwa wahuni wawili tu, muhaya mmoja na rafiki yake muhindi. Sometimes kiongozi lazima uwe mkatili kwa masirahi ya wengi