Je, nini hasa kimefanya mgao wa umeme kuwa historia nchini Tanzania?

Huu mgao ni hatari,ndani ya masaa24 tumepata umeme masaa sita tu
 
Halafu unakuta kasheshe lote kuiweka nchi gizani master mind walikuwa wahuni wawili tu, muhaya mmoja na rafiki yake muhindi. Sometimes kiongozi lazima uwe mkatili kwa masirahi ya wengi
Hivi yule mhaya na huyo Singa singa walikuwa wanawaza nini kuwatesa wananchi wenzao kiasi kile? Kwani hapakuwa na ujanja mwingine wa kuishawishi serikali kukodi hayo majenereta kwa capacity charge kubwa? Si wangewapa rishwa tu, kulikuwa na haja gani ya kufungulia mabwawa maji yaishe halafu wakamdanganya Rais Kikwete kwamba hata baada ya miaka 10 mabwawa hayatajaa, halafu mwezi uliofuata tu, mvua zikanyesha na yakajaa hadi maji yanamwagikia juu, na hapo mkataba washasaini...
 
Vyanzo vya uzalishaji was umeme vimeongezeka
Zamani tulikuwa tunategemea maji na mafuta tu,sasa imeongezeka gas na bado vyanzo zaidi vinazidi kubuniwa mf joto ardhi
 
Unasemaje?🤔
 
Mzee wa bongo fleva bila shaka halijamfikia mezani au jamaa wameongeza ubani kwenye chetezo, kwenye vigoda vyao, bila kufanya hivyo mambo hayawaendei poa.
 
Pesa za umeme wa Nyerere zinaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…