Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Uko serious?Au kila wakati ni wakati wa Magufuli this Magufuli that, ungebakia katika kujaribu kumwelewesha mleta thread.Mbona Dr Magufuli anajenga sana barabara na madaraja
Anyway hata wakati huu Capital Expenditure (Madaraja e.t.c) ni ndogo ukilinganisha na Recurrent Expenditure(Mishahara e.t.c) ambayo kwa my POV ni kama ngazi ya familia pesa nyingi tunabadilishia mboga na mavazi,harusi e.t.c kuhusu matofali tunaenda kidogo kidogo.
So your new GodMan,Kiongozi wa malaika bado hajazikimbia hizi hali. "Jinale lihimidiwe"in Kangi voice 😆😆😆😆