Je, nini hutokea endapo taifa lolote lile ulimwenguni litashindwa kulipa deni?

Mbona Dr Magufuli anajenga sana barabara na madaraja
Uko serious?Au kila wakati ni wakati wa Magufuli this Magufuli that, ungebakia katika kujaribu kumwelewesha mleta thread.

Anyway hata wakati huu Capital Expenditure (Madaraja e.t.c) ni ndogo ukilinganisha na Recurrent Expenditure(Mishahara e.t.c) ambayo kwa my POV ni kama ngazi ya familia pesa nyingi tunabadilishia mboga na mavazi,harusi e.t.c kuhusu matofali tunaenda kidogo kidogo.

So your new GodMan,Kiongozi wa malaika bado hajazikimbia hizi hali. "Jinale lihimidiwe"in Kangi voice πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wanasema tumuache ajiongezee miaka mingine mitano.
 
Unaanza kugawa nyara za Taifa mf mto,ziwa,mkoa,wanyama,mbuga,madini nk
 
Tafuta rescue package/proposal ya ugiriki baada ya kushindwa kulipa dena la washirika wake.
 
We hujasikia China imechukua mgodi wa shaba kule Zambia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…