Tatizo unataka kutatua tatizo lako la displeasure. Haufurahishwi.. lakini ili uwe na utatuzi was kudumu, sustainable solution... Lazima utibu mzizi wa tatizo..
Na tatizo la wakazi wa Kibera, wa soweto na Manzese, vingunguti, msasani bonde la mpunga ni, Yale Yale Umasikini, Elimu Duni na kusahauliwa na mfumo.
Hakuna mradi Tanzania, Kenya Wala South Afrika unaowatambua masikini. Ulaya ziko Affordable Housing Schemes and trailer parks.. lakini bado wanashida ya homelessness.. wewe Afrika usiyekuwa na mfumo Sahihi utawezana wapi..
Kwa kifupi Miji Ni hardware, ya kutumiwa na mifumo laini Sahihi(software) Kama sheria na mifumo ya Usimamizi kumuwezedha mwanadamu kuishi maisha mazuri.
Kama ilivyo kwa kila kitu chenye asili hiyo ya mifumo na hardware.. usipomuandaa mtumiaji wake vizuri hawezi kufikia optimal inteded use of the infrastructure.
Watu wa Manzese wakiwa na Elimu Bora, Afya Bora na Uchumi Imara, watajenga nyumba bora, watafanya maamuzi sahihi. Watalipa Kodi ya kutosha kuweza kufanya rehabilitation ya miundombinu.
Wazo lako ni jema Kama one time solution..na tilikwisha ijaribu pale Buguruni, na tukaikimbia maana sio endelevu. Unawahamisha ..unawaweka gorofani wanauza wanaenda squatter unarudia cycle itakuwa hiyo hiyo milele. Mind you ongezeko la watu masikini linaendelea kukua.
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app